Simba yaachana na Ayoub Lakred

Simba yaachana na Ayoub Lakred

Mributz

Senior Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
177
Reaction score
527
Uongozi wa simba SC umefikia makubaliano na Ayoub Lakred kuachana.

Ayoub ameitumikia Simba kwa msimu mmoja na kuifanya timu hiyo kushika nafasi ya tatu kwenye Ligi.

Naelewa kuwa Simba SC imefanya maamuzi ya kumuachia Ayoub kutokana na majeraha yake.

FB_IMG_1723797800497.jpg
 
View attachment 3071561
Kwani ungeandika tu bila kutaja hiyo nafasi ya tatu ungekosa nini.
Ulivyoiweka inafanya ionekane Ayoub ndio chanzo cha hiyo nafasi ya tatu.
 
Back
Top Bottom