Simba yaachana na Ayoub Lakred

Simba yaachana na Ayoub Lakred

Hivi Kihasibu Simba inapata kweli faida kwa kusajili kundi kubwa la wachezaji wa kigeni kwa mkataba wa miaka miwili+ halafu baada ya nusu msimu, au msimu mmoja kuachana nao!!

Sikatai timu nyingine pia ikiwemo Yanga nazo zina huu mchezo! Ila kwa upande wa Simba naona idadi ni kubwa zaidi!! Mwasibu OKW BOBAN SUNZU, msaada wako please.
 
Back
Top Bottom