3llyEmma
JF-Expert Member
- Oct 23, 2017
- 6,172
- 6,884
Nkwabi ni mmeo bila shaka... (kila nukta unamtaja)Wazee wa kukurupuka hata TFF hawana Habari maana mtaona aibu mkipigwa stop mtu ukishabikia Mbumbumbu/Bodaboda/Mikia FC akili inahama mwambie mo aweke b20 zinatakiwa hivi hujiulizi kwanini Nkwabi aliachia ngazi