Simba yaanzisha mashindano mapya

Simba yaanzisha mashindano mapya

Wazee wa kukurupuka hata TFF hawana Habari maana mtaona aibu mkipigwa stop mtu ukishabikia Mbumbumbu/Bodaboda/Mikia FC akili inahama mwambie mo aweke b20 zinatakiwa hivi hujiulizi kwanini Nkwabi aliachia ngazi
Nkwabi ni mmeo bila shaka... (kila nukta unamtaja)
 
Kanunue kalenda mkuu, huku utapata presha
Hamna ubunifu hapo wamwcopy na kupaste tuu. Haya mashindano yalishafanyikaga nakumbu azam fc waendaga congo na mwaka uliofuata waenda zambia
 
Nenda kanunue kalenda ndugu, unatoa povu afu kalenda huna
Wazee wa kukurupuka hata TFF hawana Habari maana mtaona aibu mkipigwa stop mtu ukishabikia Mbumbumbu/Bodaboda/Mikia FC akili inahama mwambie mo aweke b20 zinatakiwa hivi hujiulizi kwanini Nkwabi aliachia ngazi
 
Umezaliwa lini 2015 maana huko nyuma kulikuwa na ligi ilikuwa inaitwa nani mtani jembe ilikuwa na tim 2 tu
 
Hamna ubunifu hapo wamwcopy na kupaste tuu. Haya mashindano yalishafanyikaga nakumbu azam fc waendaga congo na mwaka uliofuata waenda zambia
Sasa tatizo lipo wapi? Hutaki waige kilicho chema?
 
Wazee wa kukurupuka hata TFF hawana Habari maana mtaona aibu mkipigwa stop mtu ukishabikia Mbumbumbu/Bodaboda/Mikia FC akili inahama mwambie mo aweke b20 zinatakiwa hivi hujiulizi kwanini Nkwabi aliachia ngazi
Nyani kwenye ubora wenu, MO aweke 20b kwenye account ya nani?. Simba sio wajinga kama mlivyo ninyi Utopolo. Mchakato bado haujaisha hadi utakapo pitishwa FCC.
Nyie manyani fc hata mueleweshwe vipi hamuwezi kuelewa, endeleeni na marathon yenu na kuuza kalenda
 
kumbukumbu muhimu, hasa utopolo waliobeza hii michuano
 
Mkuu NAWATAFUNA kuna uwezekano ukawa sahihi katika uliyoyasema, Sasa hebu dadavua kidogo huo ubora wa CEO Barbara against ubora wa Senzo.

Ahsante
Kwa muda mchache tu C.E.O mpya wa Simba kafanya mambo makubwa ukilinganisha na aliemtangulia.
Senzo kwa nafasi yake na weredi alionao kule kwa jirani pia kashindwa kabisa kupenyeza alichonacho kubadili fikra za klabu yake mpya,badala yake na yeye katekwa kawa zuzu kama aliowakuta.
 
Anaiaminisha club ikifungwa inahujumiwa, bado anawaaminisha mkataba wa Morison Simba ni feki
 
Back
Top Bottom