Simba yadai Jezi zitawasili kabla ya Mechi ya Raja

BARD AI

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2018
Posts
3,591
Reaction score
8,826
ahmad.webp

Ofisa Habari na Mawasiliano wa klabu ya Simba SC, Ahmed Ally amesema kabla ya Februari 18, 2023 mzigo wa jezi mpya utakuwa umefika Tanzania ukitokea Ethiopia ambako umekwama.

Akizungumza leo Februari 15, 2023 Ahmed Ally amesema jezi hilo zilianza kukwama nchini China hivyo zilifanyika juhudi za kusukuma mzigo huo ili kuachiwa kwa haraka na baada ya kuachiwa ukakwama tena Ethiopia.

“Kutokana na sherehe za mwaka mpya China usafirishaji mizigo ulikuwa wakusuasua ikabidi Vunjabei aende China kuhakikisha jezi hazichelewi ila zikaja kukwama Ethiopia kwasababu ya ndege za mizigo kuchelewa.” Amesema Ahmed Ally.

Amesema kuwa kabla ya mchezo wa pili wa Ligi ya Mabingwa dhidi ya Raja Casablanka jezi hizo zitakuwa zimefika na kila shabiki atakapata kutokana uwingi wa jezi hizo.

HABARI LEO
 
Jezzi za Simba MUNYAMA Zinakuja na Ngamia
 
Mpo busy na Feisal na Sportpesa mnasahau jezi
Simba tuna historia nzuri ya jezi kali. Mtu hata akivaa ya miaka 5 iliyopita bado anatokelezea.

Sasa wenzangu na nyie nasikia mwanamitindo wenu ameahidi kuzindua jezi nyingine hivi karibuni, sijui GSM wanawaonaje mashabiki wa Yanga. Zile za Haier mmeuza siku mbili zimedoda.
 
Jezi nzuri na kali si mvuae hizo mlizindua mpya za nini wewe mbumbumbu kijana
 
Hizo jezi mpya zinabeba maono makubwa ya nchi ndiyo maana hata shetani anazifanyia fitna huko njiani maana anajua nini wavaaji wanaenda kufanya kwa taifa lao.
 
Acha wivu. Tunajua zenu zinashonwa na mafundi cherehani wa mwanamitindo maarufu nchini Sheria Ngowi.
Ila wabongo noma sana. Hivi kabisa unashupaza shingo kubishana kwa hii ishu ya jezi za Simba?

Wewe kweli shabiki wa kolo. Unadumisha ule motto wenu 'Simba bishana hata kama huna haki'

Kataa kubali muonekano wa jezi hizi za Simba si mzuri na kit maker wenu kafeli!

Ukiamua kubisha bisha tu
 
Back
Top Bottom