Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Hao Namungo na utopolo ukienda kuangalia chart za caf Namungo wako juu au umeanza kuhofia mabao aliyokuwa akiwafungaIna maana imefika wakati Simba inagombea mchezaji na Sindida au Namungo kweli nimeamini Dunia duara.
Sasa rasmi Yanga Bingwa 2022/2023.
Uto...tuendelee kuijenga timu yetu kujiandaa na msimu mpya wa mashindano,hayo ya kolo tuwaachie wao.Ina maana imefika wakati Simba inagombea mchezaji na Sindida au Namungo kweli nimeamini Dunia duara.
Sasa rasmi Yanga Bingwa 2022/2023.
Na ndivyo ilivyo .Kichuya anaweza akawa bora kumshinda Banda kwa sababu Kichuya ana speed, pumzi na spirit ya kurudi kukaba pale timu inapopoteza mpira.
Hii simba ya mwaka huu ni majanga matupu! Yaani wanashindwa hata kuvunja mkataba wa mchezaji wa Namungo Fc!Ina maana imefika wakati Simba inagombea mchezaji na Sindida au Namungo kweli nimeamini Dunia duara.
Sasa rasmi Yanga Bingwa 2022/2023.
Kumbuka Namungo ni kubwa kuliko Yanga . Namungo ana point 2 caf huku Yanga akiwa na point 0.5. Namungo wa 68 caf Yanga 138 japo Yanga ni mkongwe kuliko Namungo.Ina maana imefika wakati Simba inagombea mchezaji na Sindida au Namungo kweli nimeamini Dunia duara.
Sasa rasmi Yanga Bingwa 2022/2023.
Sindida inacheza ligi gani bossIna maana imefika wakati Simba inagombea mchezaji na Sindida au Namungo kweli nimeamini Dunia duara.
Sasa rasmi Yanga Bingwa 2022/2023.
Hizo pints 2 zinamsaidia nini huyo Namungo?! Na hiyo nafasi ya 68 inampeleka wapi sasa?! Au kaingiza sh ngapi kwa hizo points na hiyo nafasi yake ya 68?! Kuna muda tuache kushabikia ujinga tuongee vitu sensible kwa manufaa ya mpira wetu na clubs husika. Waambie Namungo wapambane ili tuwaone kwenye mashindano ya kimataifa frequently wataingiza pesa au wabebe makombe ya domestic league itakua na manufaa kwao na kwa taifa zaidi ya hizo points 2 na nafasi ya 68Kumbuka Namungo ni kubwa kuliko Yanga . Namungo ana point 2 caf huku Yanga akiwa na point 0.5. Namungo wa 68 caf Yanga 138 japo Yanga ni mkongwe kuliko Namungo.
Ni sajiri bora sana ukifuatilia simba msimu huu tumepoteza points nyingi ugenini,ambazo tulikua tunazipata tukiwa na wachezaji wazawa kama dilunga,Bocco,kichuya enzi yupo,mkude, Simba ndio timu iliyochukua points nyingi uwanja wa nyumbani kuliko timu zote za NBC PL kwaio changamoto ya simba msimu huu ukiacha safu butu ya ushambuliaji pia ni kushindwa kuchukua points 3 kwenye viwanja vya ugenini.Ina maana imefika wakati Simba inagombea mchezaji na Sindida au Namungo kweli nimeamini Dunia duara.
Sasa rasmi Yanga Bingwa 2022/2023.
We unafikiri kwanini Yanga analilia kufika angalau tu makundi ?Ni kwamba hizo point kwakwe Zina Maana kubwa sana.Na hili kulibaini hadi uwe shabiki mwenye jicho la kuona mbali.Hizo pints 2 zinamsaidia nini huyo Namungo?! Na hiyo nafasi ya 68 inampeleka wapi sasa?! Au kaingiza sh ngapi kwa hizo points na hiyo nafasi yake ya 68?! Kuna muda tuache kushabikia ujinga tuongee vitu sensible kwa manufaa ya mpira wetu na clubs husika. Waambie Namungo wapambane ili tuwaone kwenye mashindano ya kimataifa frequently wataingiza pesa au wabebe makombe ya domestic league itakua na manufaa kwao na kwa taifa zaidi ya hizo points 2 na nafasi ya 68
Simba nao wamerogwa na nani sijui?Hii ndio taarifa inayosambaa kwa kasi mitandaoni kwa sasa , kiasi cha kuzua mgogoro kati ya Simba na Namungo FC.
Namungo inalalamikia rafu zinazochezwa na Simba kwenye suala la Kichuya huku ikijinasibu kwamba Kichuya ni mchezaji wao halali .
Hela imekataSimba nao wamerogwa na nani sijui?
Tuwekee chanzo chako kama huna basi hizi ni TaarabKumbuka Namungo ni kubwa kuliko Yanga . Namungo ana point 2 caf huku Yanga akiwa na point 0.5. Namungo wa 68 caf Yanga 138 japo Yanga ni mkongwe kuliko Namungo.
Ndio wanataka kuanza ugenini kisa mabingwaWe unafikiri kwanini Yanga analilia kufika angalau tu makundi ?Ni kwamba hizo point kwakwe Zina Maana kubwa sana.Na hili kulibaini hadi uwe shabiki mwenye jicho la kuona mbali.
Shabiki wa kawaida hawezi kujua thamani ya point 2 za Namungo huko caf
Ingia website ya cafTuwekee chanzo chako kama huna basi hizi ni Taarab
Imagine serikkali inatenga budget kuhesabu majiitu majinga kama hili! kwahio unataka kuniambia Yanga iliyo ingia makundi CAF confederation inazidiwa na Namungo iliyo ingia mara moja?Kumbuka Namungo ni kubwa kuliko Yanga . Namungo ana point 2 caf huku Yanga akiwa na point 0.5. Namungo wa 68 caf Yanga 138 japo Yanga ni mkongwe kuliko Namungo.