unakuwa mbishi kama kitimoto mwenzako. Google hizo takwimu zipo wazi.Tuwekee chanzo chako kama huna basi hizi ni Taarab
Acha ushamba, weka chanzo kama umeshindwa hiyo ni mipasho ya kwenye taarab.unakuwa mbishi kama kitimoto mwenzako. Google hizo takwimu zipo wazi.
Sensa ijayo kuwe na kipengele cha kuhesabu mataahira kama hiliKumbuka Namungo ni kubwa kuliko Yanga . Namungo ana point 2 caf huku Yanga akiwa na point 0.5. Namungo wa 68 caf Yanga 138 japo Yanga ni mkongwe kuliko Namungo.
Hebu tuambie Yanga ni mchezaji gani wamemnunua mpaka sasa? Yanga ndio wameshasajili wachezaji 3 reject na wasio na timu kabisa.Simba SC a.k.a Kolowizard wamechooooka mbaya, yaani wao kazi Ni kuvizia vya bure
Kumbuka Namungo ni kubwa kuliko Yanga . Namungo ana point 2 caf huku Yanga akiwa na point 0.5. Namungo wa 68 caf Yanga 138 japo Yanga ni mkongwe kuliko Namungo.
We unafikiri kwanini Yanga analilia kufika angalau tu makundi ?
unakuwa mbishi kama kitimoto mwenzako. Google hizo takwimu zipo wazi.
Hebu tuambie Yanga ni mchezaji gani wamemnunua mpaka sasa? Yanga ndio wameshasajili wachezaji 3 reject na wasio na timu kabisa.
Sensa ijayo kuwe na kipengele cha kuhesabu mataahira kama hili
Lini hiyo Yanga iliingia makundi CAF? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Imagine serikkali inatenga budget kuhesabu majiitu majinga kama hili! kwahio unataka kuniambia Yanga iliyo ingia makundi CAF confederation inazidiwa na Namungo iliyo ingia mara moja?
😁😁 binafsi sijakuelewa. Hebu eleza vzr acha kutetemeka mdomo na vidoleImagine serikkali inatenga budget kuhesabu majiitu majinga kama hili! kwahio unataka kuniambia Yanga iliyo ingia makundi CAF confederation inazidiwa na Namungo iliyo ingia mara moja?
Kama hazina msaada jiulize ni kwa nini walau simba sku hzi haianzii hatua ya awali kama yanga inavyoanzia huko. Hzo points ni hazina kwake kuelekea kutokusoma chekechea na kuanzia la kwanza.Hizo pints 2 zinamsaidia nini huyo Namungo?! Na hiyo nafasi ya 68 inampeleka wapi sasa?! Au kaingiza sh ngapi kwa hizo points na hiyo nafasi yake ya 68?! Kuna muda tuache kushabikia ujinga tuongee vitu sensible kwa manufaa ya mpira wetu na clubs husika. Waambie Namungo wapambane ili tuwaone kwenye mashindano ya kimataifa frequently wataingiza pesa au wabebe makombe ya domestic league itakua na manufaa kwao na kwa taifa zaidi ya hizo points 2 na nafasi ya 68
Unawez kushiriki mara nyingi kama msindikizaji lakini performance yako ikawa ni poor, yanga kipindi cha manji alishiriki Mara nyingi akaambulia point .5 lakini simba aliporudi msimu mmoja tu akakusanya zaidi ya point za yanga misimu 3 the same goes to NamungoImagine serikkali inatenga budget kuhesabu majiitu majinga kama hili! kwahio unataka kuniambia Yanga iliyo ingia makundi CAF confederation inazidiwa na Namungo iliyo ingia mara moja?
Kumrejesha kichuya watakuwa wamekosea, hana mpira wa kucheza Simba kwasasa huyoHii ndio taarifa inayosambaa kwa kasi mitandaoni kwa sasa , kiasi cha kuzua mgogoro kati ya Simba na Namungo FC.
Namungo inalalamikia rafu zinazochezwa na Simba kwenye suala la Kichuya huku ikijinasibu kwamba Kichuya ni mchezaji wao halali .
Fikiria ni kwann Yanga amebeba kombe lakin ameanzia hatua ya awali jibu ni rahisi ni kwa sababu ana point chache (0.5)Kwa hy hz point zinamaan sanaa mkuu elewa hilo usiongee kiushabikiNi sajiri bora sana ukifuatilia simba msimu huu tumepoteza points nyingi ugenini,ambazo tulikua tunazipata tukiwa na wachezaji wazawa kama dilunga,Bocco,kichuya enzi yupo,mkude, Simba ndio timu iliyochukua points nyingi uwanja wa nyumbani kuliko timu zote za NBC PL kwaio changamoto ya simba msimu huu ukiacha safu butu ya ushambuliaji pia ni kushindwa kuchukua points 3 kwenye viwanja vya ugenini.
Sent from my SM-G9650 using JamiiForums mobile app
Huo mwiko huko nyuma unawafurahisha sana inaelekea....Uto...tuendelee kuijenga timu yetu kujiandaa na msimu mpya wa mashindano,hayo ya kolo tuwaachie wao.
...Daima mbele nyuma Mwiko..
Wewe kaoshe vyombo hivi vitu ni oversize kwakoLini hiyo Yanga iliingia makundi CAF? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hakuna ulazima wa kila mtu anielewe[emoji16][emoji16] binafsi sijakuelewa. Hebu eleza vzr acha kutetemeka mdomo na vidole