Simba yadaiwa kutaka kumrejesha Kichuya

Simba yadaiwa kutaka kumrejesha Kichuya

Simba SC a.k.a Kolowizard wamechooooka mbaya, yaani wao kazi Ni kuvizia vya bure
Hebu tuambie Yanga ni mchezaji gani wamemnunua mpaka sasa? Yanga ndio wameshasajili wachezaji 3 reject na wasio na timu kabisa.
 
Kumbuka Namungo ni kubwa kuliko Yanga . Namungo ana point 2 caf huku Yanga akiwa na point 0.5. Namungo wa 68 caf Yanga 138 japo Yanga ni mkongwe kuliko Namungo.

Namungo FC kamzidi points 2 tu Yanga SC.

Tangu hiyo timu ianzishwe hayo ndio mafanikio ya kujivunia nayo.

Tofauti na hapo hakuna inachojivunia.

Sisi kama Mabingwa MARA 28 WA KIHISTORIA WA LIGI KUU TANZANIA BARA tunakiri kuwa Namungo ni kubwa kuliko Yanga SC.

[emoji23][emoji23]
 
unakuwa mbishi kama kitimoto mwenzako. Google hizo takwimu zipo wazi.

Ndio mmesema Namungo FC inashika nafasi ya 68?
IMG_0623.jpg

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Imagine serikkali inatenga budget kuhesabu majiitu majinga kama hili! kwahio unataka kuniambia Yanga iliyo ingia makundi CAF confederation inazidiwa na Namungo iliyo ingia mara moja?
Lini hiyo Yanga iliingia makundi CAF? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Imagine serikkali inatenga budget kuhesabu majiitu majinga kama hili! kwahio unataka kuniambia Yanga iliyo ingia makundi CAF confederation inazidiwa na Namungo iliyo ingia mara moja?
😁😁 binafsi sijakuelewa. Hebu eleza vzr acha kutetemeka mdomo na vidole
 
Hizo pints 2 zinamsaidia nini huyo Namungo?! Na hiyo nafasi ya 68 inampeleka wapi sasa?! Au kaingiza sh ngapi kwa hizo points na hiyo nafasi yake ya 68?! Kuna muda tuache kushabikia ujinga tuongee vitu sensible kwa manufaa ya mpira wetu na clubs husika. Waambie Namungo wapambane ili tuwaone kwenye mashindano ya kimataifa frequently wataingiza pesa au wabebe makombe ya domestic league itakua na manufaa kwao na kwa taifa zaidi ya hizo points 2 na nafasi ya 68
Kama hazina msaada jiulize ni kwa nini walau simba sku hzi haianzii hatua ya awali kama yanga inavyoanzia huko. Hzo points ni hazina kwake kuelekea kutokusoma chekechea na kuanzia la kwanza.
 
Imagine serikkali inatenga budget kuhesabu majiitu majinga kama hili! kwahio unataka kuniambia Yanga iliyo ingia makundi CAF confederation inazidiwa na Namungo iliyo ingia mara moja?
Unawez kushiriki mara nyingi kama msindikizaji lakini performance yako ikawa ni poor, yanga kipindi cha manji alishiriki Mara nyingi akaambulia point .5 lakini simba aliporudi msimu mmoja tu akakusanya zaidi ya point za yanga misimu 3 the same goes to Namungo
 
Hii ndio taarifa inayosambaa kwa kasi mitandaoni kwa sasa , kiasi cha kuzua mgogoro kati ya Simba na Namungo FC.

Namungo inalalamikia rafu zinazochezwa na Simba kwenye suala la Kichuya huku ikijinasibu kwamba Kichuya ni mchezaji wao halali .
Kumrejesha kichuya watakuwa wamekosea, hana mpira wa kucheza Simba kwasasa huyo
 
Ni sajiri bora sana ukifuatilia simba msimu huu tumepoteza points nyingi ugenini,ambazo tulikua tunazipata tukiwa na wachezaji wazawa kama dilunga,Bocco,kichuya enzi yupo,mkude, Simba ndio timu iliyochukua points nyingi uwanja wa nyumbani kuliko timu zote za NBC PL kwaio changamoto ya simba msimu huu ukiacha safu butu ya ushambuliaji pia ni kushindwa kuchukua points 3 kwenye viwanja vya ugenini.

Sent from my SM-G9650 using JamiiForums mobile app
Fikiria ni kwann Yanga amebeba kombe lakin ameanzia hatua ya awali jibu ni rahisi ni kwa sababu ana point chache (0.5)Kwa hy hz point zinamaan sanaa mkuu elewa hilo usiongee kiushabiki
 
Back
Top Bottom