Simba yafuata Libolo

Hvi ni lini tena wanakutana na LIBOLO ?
 
Kama Simba watafanikiwa kuifunga Libolo na kuingia kwenye round ijayo, watakutana na Chipumbu ya Gabon.

Hii ni kwa mujibu wa ratiba iliyotolewa na CAF.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Kama Simba watafanikiwa kuifunga Libolo na kuingia kwenye round ijayo, watakutana na Chipumbu ya Gabon.

Hii ni kwa mujibu wa ratiba iliyotolewa na CAF.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

Du kwa mwendo huo lazima apate mimba
 
Basi simba wamelipenda sana hilo dude.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
asanten wazee wa 5, tunawaombea muwe bingwa mwaka huu, mkutane na waarabu, nadhan mnajua stail yao. mcheze mkiwa wimawima la sivyoo;;;;;
 
Jamani mi nawaonea huruma Simba hii Liboro sio kabisa japo mi ni mjangwani lakini dah
Yaani sijui wakate mauno gani ili liboro wasifanye mambo yao tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…