nkyalomkonza
JF-Expert Member
- Jun 18, 2012
- 1,154
- 444
Hivi ni leo simba inacheza na libolo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kesho RIBOLO.
Umepost tu uonekane na wewe unajua soka ama?
Hvi ni lini tena wanakutana na LIBOLO ?
Walinogewa
mnyama anaenda kushindiliwa libolo/
Kama Simba watafanikiwa kuifunga Libolo na kuingia kwenye round ijayo, watakutana na Chipumbu ya Gabon.
Hii ni kwa mujibu wa ratiba iliyotolewa na CAF.
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
eh? kumbe na wewe umo?Jamani mi nawaonea huruma Simba hii Liboro sio kabisa japo mi ni mjangwani lakini dah
Yaani sijui wakate mauno gani ili liboro wasifanye mambo yao tena