Elizabeth Dominic
Platinum Member
- Dec 7, 2007
- 4,555
- 3,655
eh? kumbe na wewe umo?
Nimo wangu...mi Yanga damudamu i couldn't just let this Libolo slide off easily, so damn sweet i can imagine Simba wanavyojisikia. Dayuum!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
eh? kumbe na wewe umo?
:shut-mouth::shut-mouth::shut-mouth:Nimo wangu...mi Yanga damudamu i couldn't just let this Libolo slide off easily, so damn sweet i can imagine Simba wanavyojisikia. Dayuum!
kanda2 na lugha za bandarini waziwezea/Nimo wangu...mi Yanga damudamu i couldn't just let this Libolo slide off easily, so damn sweet i can imagine Simba wanavyojisikia. Dayuum!
Jamani mi nawaonea huruma Simba hii Liboro sio kabisa japo mi ni mjangwani lakini dah
Yaani sijui wakate mauno gani ili liboro wasifanye mambo yao tena
Hivi ni leo simba inacheza na libolo?
Jamani kwanini? Ina maana hawakutosheka na lile limoja? Huu sasa umalaya
Nasikia mimba haikutungwa,wanategemea huko itaenda kutungwa, si unajua mwanaume alikuwa mgeni halafu mke alikuwa anamsubiria bwana mwingine mtibwa kutoka moro?
Jamani mi nawaonea huruma Simba hii Liboro sio kabisa japo mi ni mjangwani lakini dah
Yaani sijui wakate mauno gani ili liboro wasifanye mambo yao tena
Nasikia mimba haikutungwa,wanategemea huko itaenda kutungwa, si unajua mwanaume alikuwa mgeni halafu mke alikuwa anamsubiria bwana mwingine mtibwa kutoka moro?
Yaani nimecheka tu hiyo title!Basi simba wamelipenda sana hilo dude.
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums