Simba yafuata Libolo

Simba yafuata Libolo

Jamani kwanini? Ina maana hawakutosheka na lile limoja? Huu sasa umalaya
 
Nasikia mimba haikutungwa,wanategemea huko itaenda kutungwa, si unajua mwanaume alikuwa mgeni halafu mke alikuwa anamsubiria bwana mwingine mtibwa kutoka moro?
 
Nasikia wameharibiwa oman
 
Jamani mi nawaonea huruma Simba hii Liboro sio kabisa japo mi ni mjangwani lakini dah
Yaani sijui wakate mauno gani ili liboro wasifanye mambo yao tena

Shukrani kwa mnazi wa Jangwani napenda kutangaza nia kwako.
 
Nasikia mimba haikutungwa,wanategemea huko itaenda kutungwa, si unajua mwanaume alikuwa mgeni halafu mke alikuwa anamsubiria bwana mwingine mtibwa kutoka moro?

Nashauri timu zisiende uarabuni
 
Back
Top Bottom