JanguKamaJangu
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 2,780
- 6,607
Simba imepoteza mchezo wa kirafiki dhidi ya AS Arta Solar kwa kufungwa goli 1-0 kwenye Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam, leo Septemba 3, 2022.
Licha ya kutawala mchezo huo kwa muda mwingi Simba iliruhusu goli hilo katika dakika ya 88.
Mchezo huo ulikuwa ni maalum kwa #Simba kujiandaa na Ligi ya Mabingwa Afrika kama ilivyo kwa AS Arta Solar ya Djibouti ambayo mastaa wa timu hiyo ni Alex Song na Salomon Kalou.