Simba yafungwa 1-0 na AS Arta Solar (timu ya kina Alex Song, Kalou)

Kama kunamtu wa kumshauri Ali salim Golikipa namba tatu wa Simba uongozi wa mchezaji umtafutie haraka timu ya kucheza ata nje ya mipaka ya Tanzania au Zanzibar ambako dirisha la usajili halijafungwa akacheze.
Anajiamini na ana uwezo, Kuendelea kukaa bila kucheza kutaua kipaji chake kabla hakika fahamika Kwa wengi na kumsaidia kimaisha.
 
Hii Arta solar si ndo ilifugwa na Azam 3 kwa mtungi?makolo ni uzushi mtupu.
 
🤣🤣🤣🤣🤣 Alisema mourinho timu kubwa ikianza kusema tulicheza vizuri lakini imefungwa basi hao sio timu kubwa tena. Sasa nyie ndiko mnakoelekea
Bado sisi ni timu kubwa hilo halina ubishi mkuu..yani nikisema ukubwaa namaanisha kila angle. Sasa bila kufungwa mngetoa wapi leo cha kuongea? Kwani mzungu anasemaje huko?
 
Kufungwa ni kawaida ila akifungwa Simba sio kawaida maana inakua topic kwa Utopolo kweli Simba kubwa.
 
Huyu kipa anajua aisee beno kakolanya haoni ndani kwa huyu dogo..
 
Leo mtani umeongea vizuri sana. Ally save zake zote ni za hatari.
 
Ndio maana nilikuwa nashangaa kwa nini ali salum hachezi lakini simba hawamtoi kwa mkopo au kumwachia leo ndo nimepata majibu kakolanya hamuwezi hata kidogo footwork yake na confidence ipo juu sana.
 
Nani alikua 'Man of the Match?

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
 
Maisha bwana wewe maisha
 
Kufungwa na timu kutoka Djibut ni jambo lafedheha sana japo katika mpira lolote hutokea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…