Simba yafungwa 1-0 na AS Arta Solar (timu ya kina Alex Song, Kalou)

Makolo mna timu mbovu mmefungwa na wavuvi ambao wanajikusanya uwanjani baada ya kushinda baharini siku nzima wakivua
 
Leo ndo nimeamini muzungu ni mzigo kuliko kiroba cha mkaa.
Hakuna mchezaji
Sielewi kwanin Kocha asimpe mazoezi maalumu, Jamaa anawachosha wenzake sana. Sishangai muda mwingine viongozi kuingilia maamuzi ya kocha. Jamaa hana impact kabisa kwenye timu
 
Reactions: K11
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…