Simba yaifunga KMC kwa magoli 2 -1 uwanja wa CCM Kirumba

Simba yaifunga KMC kwa magoli 2 -1 uwanja wa CCM Kirumba

Mpira wa kubebana sio fair ata kidogo yani ata mtoto mdogo anajuwa simba kabebwa tena kwa mbeleko kali.
Mambo ya kubebwa yanaharibu soka la Tanzania, timu zikitoka nje ni tano tano
 
Ukiitwa kutoa ushahidi Takukuru unaweza kuthibitisha hilo???
Nashindwa nini na watu kibao pale .. Umeona wapi timu ina viporo 12..kaangalie msimamo wa ligi Misri na Congo viporo mechi 2.. Mikia wanaandika barua TFF mechi yao na Biashara isogezwe mbele wajiandae mechi na Yanga . Ujinga kabisa. . Na mengine mengi siwezi kuandika hapa.. Unafikiria nimezaliwa Bara.. Born here here chocho zote nazijua
 
Hivyo unategemea kwa hali hii mwakani yajirudie. Teh. Sijui lakini Mtani.

Hivyo hiyo inafanya kila anayeingia kwenye anga zenu anufaike. Hakuna cha refa wala timu pinzani. Lol.

Hizi kasumba zimeletwa na nyinyi, mnadhani kila tunayecheza naye kapokea kama mlivyopokea.
 
Back
Top Bottom