Vin Diesel
JF-Expert Member
- Mar 1, 2011
- 9,088
- 6,384
Sio vibaya kuiga Yanga ambao walianza na Benki ya Posta
Posta na Simu...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio vibaya kuiga Yanga ambao walianza na Benki ya Posta
👊👊👊 Maendeleo mazuri Sana hayo!!Du simba inachafuka sponsorssimbaCode:
Kwa hiyo Equity Bank haipo kwenye Umoja Switch?kweli wewe ni Mbumbumbu bin Mburula
Pale hamna transformation,mambo ni business as usual Mudi alitumia mafanikio ya Simba kuspeed up take over but club kama imepolwa...Tunaomba update kwenye huu usajili wa wanachama kupitia equity bank
Hapa ndo mtajua transformation ya simba imejaa chupli chupli kibao
Kusajili wanachama hakuna uhusiano na transformation, kinachobadilika ni namna tu ya usajili. Kumbuka, hata rais wa kwanza wa Zanzibar alikuwa mwanachama wa moja ya klabu enzi hizo za 1960s, na kumsajili uanachama hakukuhitaji transformation. Naona watu mnachanganya madawaTunaomba update kwenye huu usajili wa wanachama kupitia equity bank
Hapa ndo mtajua transformation ya simba imejaa chupli chupli kibao
Kama hujui umuhimu wa kusajili wanachama kidigitali nambie nikuelezeKusajili wanachama hakuna uhusiano na transformation, kinachobadilika ni namna tu ya usajili. Kumbuka, hata rais wa kwanza wa Zanzibar alikuwa mwanachama wa moja ya klabu enzi hizo za 1960s, na kumsajili uanachama hakukuhitaji transformation. Naona watu mnachanganya madawa
Mimi sijasema umuhimu, nimesema uhusiano wa transformation na usajili wa wanachama kidigitali. Uwe unajaribu kuelewa maandishiKama hujui umuhimu wa kusajili wanachama kidigitali nambie nikueleze
Sasa utakuwaje kwenye transformation bila ya kuwa na bila kuwa na data ya wanachama kwenye mfumo Wa kidigitaliMimi sijasema umuhimu, nimesema uhusiano wa transformation na usajili wa wanachama kidigitali. Uwe unajaribu kuelewa maandishi
Ili kuwa na data za kidigitali, ni lazima usajili uwe wa kidigitali? Haiwezekani kuhamishia data zao za awali katika mfumo wa kidigitali bila hata wao kujua kinachoendelea? Kitu gani katika mfumo wa kidigitali kinazuia mabadiliko kuelekea uendeshaji wa kibiashara?Sasa utakuwaje kwenye transformation bila ya kuwa na bila kuwa na data ya wanachama kwenye mfumo Wa kidigitali