Simba yaingia mkataba na Equity Bank kwenye card za Uanachama Simba

Ukoo wangu wote wanadaka kadi za mnyama,haijalishi wewe ni Yanga au Simba
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Mikia Wanatakatisha fedha mbona hawataki mkutano wa kuangalia mapato na matumizi..Takukuru ingieni mzigoni
 
Kwa hiyo Equity Bank haipo kwenye Umoja Switch?kweli wewe ni Mbumbumbu bin Mburula

Sasa kwan nimekwambia equity bank iko wapi we uliyekurupuka ndo mwenye umbumbu wa kutosha think before u act mama wewe
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Mikia Wanatakatisha fedha mbona hawataki mkutano wa kuangalia mapato na matumizi..Takukuru ingieni mzigoni
Hahahaaa mtakufa na stress Simba level nyingine mwaka huu hata hela ya maji hampati mirija yote tumetia kofuli.
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Makolo wenzangu hivi hili zoezi liliishia wapi Maana hatujui hata wanachama wangapi walijiandikisha na kama linaendelea
 
Tunaomba update kwenye huu usajili wa wanachama kupitia equity bank

Hapa ndo mtajua transformation ya simba imejaa chupli chupli kibao
 
Pale hamna transformation,mambo ni business as usual Mudi alitumia mafanikio ya Simba kuspeed up take over but club kama imepolwa...
 
Tunaomba update kwenye huu usajili wa wanachama kupitia equity bank
Hapa ndo mtajua transformation ya simba imejaa chupli chupli kibao
Kusajili wanachama hakuna uhusiano na transformation, kinachobadilika ni namna tu ya usajili. Kumbuka, hata rais wa kwanza wa Zanzibar alikuwa mwanachama wa moja ya klabu enzi hizo za 1960s, na kumsajili uanachama hakukuhitaji transformation. Naona watu mnachanganya madawa
 
Kama hujui umuhimu wa kusajili wanachama kidigitali nambie nikueleze
 
Mimi sijasema umuhimu, nimesema uhusiano wa transformation na usajili wa wanachama kidigitali. Uwe unajaribu kuelewa maandishi
 
Sasa utakuwaje kwenye transformation bila ya kuwa na bila kuwa na data ya wanachama kwenye mfumo Wa kidigitali
 
Ili kuwa na data za kidigitali, ni lazima usajili uwe wa kidigitali? Haiwezekani kuhamishia data zao za awali katika mfumo wa kidigitali bila hata wao kujua kinachoendelea? Kitu gani katika mfumo wa kidigitali kinazuia mabadiliko kuelekea uendeshaji wa kibiashara?
 
Back
Top Bottom