Mjasiria Akili
JF-Expert Member
- Sep 24, 2012
- 823
- 372
Kwanini hamseni Ruvu wamemhonga refa? Simba ahonge nini na tayari ameshawalegeza, iache Simba isonge mbeleNdiyo tanzania ya viwanda hiyo
Jamaa limekurupuka, Yanga imecheza lini na jkt ruvu?Imebainika yule mwamuzi aliochezesha mechi ya yanga na jkt ruvu alikula mlungula ili kuidhoofisha yanga kuelekea mechi ya yanga na mtibwa
Mpaka sasa uma wa wapenda soka hauelewi kwa nini alimwadhibu chirwa kwa kufunga goli halali na baadae kumpa kadi nyekundu ili kuimaliza yanga
Baada ya mechi ile aliulizwa mmoja wa wajumbe wa kamati ya saa 72 kama watakaa kwa haraka kuijadili adhabu ile alichojibu ni inategemea kama wataitwa kukaa mapema watakaa huku akionyesha hakuna mpango huo
Mjumbe huyo wa kamati ambae ni mnazi mkubwa wa simba kama wajumbe wengi wa kamati hiyo aliongeza sio kila tatizo linahitaji kuchukuliwa hatua mapema.
Ifike pahala mtoa post ukue kifikra na kimpira.... Unajua kwann mpira wa tanzania hauendeleei....n kwa sabab ya fikra uchwara kama zako....Imebainika yule mwamuzi aliochezesha mechi ya yanga na ruvu shooting alikula mlungula ili kuidhoofisha yanga kuelekea mechi ya yanga na mtibwa
Mpaka sasa uma wa wapenda soka hauelewi kwa nini alimwadhibu chirwa kwa kufunga goli halali na baadae kumpa kadi nyekundu ili kuimaliza yanga
Baada ya mechi ile aliulizwa mmoja wa wajumbe wa kamati ya saa 72 kama watakaa kwa haraka kuijadili adhabu ile alichojibu ni inategemea kama wataitwa kukaa mapema watakaa huku akionyesha hakuna mpango huo
Mjumbe huyo wa kamati ambae ni mnazi mkubwa wa simba kama wajumbe wengi wa kamati hiyo aliongeza sio kila tatizo linahitaji kuchukuliwa hatua mapema.
Msituvurugie majukwaa. Heshima pleaseTunahitaji kuona vyeti vya BASHITE
Msituvurugie majukwaa. Heshima please
Chizi ni chizi tu
Una maana yule mpangaji wa magogoni si eti eeh!!Chizi ni chizi tu
Na kweli vyuraa wanaruka.rukaaNaona vyura mnarukaruka tu...
πππππUngesema Simba walimhonga yule refa aliyechezesha mechi ya Simba n Yanga ningekuelewa. Haiwezekani Simba wawe pungufu halafu Yanga wautafute kwa tochi namna ile. Haiwezekani Tambwe awe mtumishi hewa uwanjani. Haiwezekani mkata umeme ageuke kishoka. Haiwezekani Yondani n Dida nusura wazichape kavukavu katika pambano la ngumi lisilo na ubingwa. Yule refa lazima alichukua hela toka kwa Simba.
Gwaji.. tuachie jukwaa letu please...π‘π‘π‘Una maana yule mpangaji wa magogoni si eti eeh!!