jogi
JF-Expert Member
- Sep 25, 2010
- 25,556
- 25,342
Haina noma mkuu, niliileta tu ili wale wenye allergy na politics nao wahabatike.Gwaji.. tuachie jukwaa letu please...😡😡😡
Kwaherini jukwaani.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haina noma mkuu, niliileta tu ili wale wenye allergy na politics nao wahabatike.Gwaji.. tuachie jukwaa letu please...😡😡😡
Sina uwezo wa kumtukana rais, nadhani hii mods inawahusuUna maana yule mpangaji wa magogoni si eti eeh!!
Wa TFF au unamaanisha nini mbwiga?Sina uwezo wa kumtukana rais, nadhani hii mods inawahusu
Namaanisha sina uwezo!Wa TFF au unamaanisha nini mbwiga?
Acha porojo mkuuImebainika yule mwamuzi aliochezesha mechi ya yanga na ruvu shooting alikula mlungula ili kuidhoofisha yanga kuelekea mechi ya yanga na mtibwa
Mpaka sasa uma wa wapenda soka hauelewi kwa nini alimwadhibu chirwa kwa kufunga goli halali na baadae kumpa kadi nyekundu ili kuimaliza yanga
Baada ya mechi ile aliulizwa mmoja wa wajumbe wa kamati ya saa 72 kama watakaa kwa haraka kuijadili adhabu ile alichojibu ni inategemea kama wataitwa kukaa mapema watakaa huku akionyesha hakuna mpango huo
Mjumbe huyo wa kamati ambae ni mnazi mkubwa wa simba kama wajumbe wengi wa kamati hiyo aliongeza sio kila tatizo linahitaji kuchukuliwa hatua mapema.
Maneno ya mkosajiKwanini hamseni Ruvu wamemhonga refa? Simba ahonge nini na tayari ameshawalegeza, iache Simba isonge mbele
We ndo umekulupuka sasa alocheza nao ni ruvu shutingi sio jktJamaa limekurupuka, Yanga imecheza lini na jkt ruvu?
We kweli bashite, sasa hapo ndo umeongea nn? Hebu soma nlichoandika na ulichoandika wewe then pitia alichoandika mtoa post badala ya kukurupuka shirikisha ubongo kwanzaWe ndo umekulupuka sasa alocheza nao ni ruvu shutingi sio jkt