Mjasiria Akili
JF-Expert Member
- Sep 24, 2012
- 823
- 372
Imebainika yule mwamuzi aliochezesha mechi ya yanga na ruvu shooting alikula mlungula ili kuidhoofisha yanga kuelekea mechi ya yanga na mtibwa
Mpaka sasa uma wa wapenda soka hauelewi kwa nini alimwadhibu chirwa kwa kufunga goli halali na baadae kumpa kadi nyekundu ili kuimaliza yanga
Baada ya mechi ile aliulizwa mmoja wa wajumbe wa kamati ya saa 72 kama watakaa kwa haraka kuijadili adhabu ile alichojibu ni inategemea kama wataitwa kukaa mapema watakaa huku akionyesha hakuna mpango huo
Mjumbe huyo wa kamati ambae ni mnazi mkubwa wa simba kama wajumbe wengi wa kamati hiyo aliongeza sio kila tatizo linahitaji kuchukuliwa hatua mapema.