Simba yamhonga mwamuzi

unatakiwa uweke ushahidi makosa ya mtandao ndio kama haya... Acha ichochezi no sawa na kusingizia watu wanatumia au kuuza madawa wakati huna ushahidi.
 
Bw mdogo ina maana yule beki wa simba alipigwa red siku ile ili simba ifungwe goli nyingi au kuirahisishia yanga ubingwa?
 
Acha porojo mkuu
 
Yanga yanga acheni kusema mnayoyafanya simba hana Hela za kuchezea Manji kabanwa mtahonga nini
 
We ndo umekulupuka sasa alocheza nao ni ruvu shutingi sio jkt
We kweli bashite, sasa hapo ndo umeongea nn? Hebu soma nlichoandika na ulichoandika wewe then pitia alichoandika mtoa post badala ya kukurupuka shirikisha ubongo kwanza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…