Simba yampa mwaliko Rais wa CAF, Patrice Motsepe kuwa mgeni rasmi Simba Day 2022

Simba yampa mwaliko Rais wa CAF, Patrice Motsepe kuwa mgeni rasmi Simba Day 2022

Sasa Simba day inafanyikaje wakati "nguo za sikukuu" bado hazijafika? Au tutavaa zile zile Sports money?
 
Ila yanga vichwa maji sana idea yenyewe ya siku ya mwanachi waneiga kwa simba maana ndo mwanzilishi wa tamasha hilo cha ajabu yanga wanajifanya wenyeji na wazoefu kwenye suala hilo inastaajabisha sana
 
Sasa Simba day inafanyikaje wakati "nguo za sikukuu" bado hazijafika? Au tutavaa zile zile Sports money?
Kweli inashangaza , jezi hazijafika, ninachoona watakuwa na jezi za wachezaji ila mashabiki waingie uwanjani kifuani sportpesa? Maana imebaki kesho tu hata watangaze Leo usiku ukweli ni kwamba siyo wote watapata au haitatosha,big shame to Simba
 
Jipige kifua.....sema kwa sauti.....SISI NI MAKOLO
Hivi bado una kifua cha kutuita makolo.?? Zile kolokolooooo zote kwenye zile jezi za vinyesi hukuziona mkuu. 😂😂😂. Ila mna majina VINYESI FC 😂😂😂😂😂
 
Hili la Simba kutokuwa na Jezi kwenye uzinduzi wao linafikirisha na kutia simanzi. Tunaopenda soka tunataka Sana hizi timu zetu zinazotutangaza zifanye Mambo ambayo timu ndogo haziwezi. Sasa Simba wanapopeleka mashabiki uwanjani wakiwa na huzuni haileti picha nzuri.
Kuna wilaya CHADEMA waliwahi kuandaa mashindano mwaka Fulani na yakafana Kwa sababu walitoa mpaka jezi, mwaka uliofuata CCM nao wakaandaa mashindano kuwajibu lakini wao hawakutoa jezi Kwa timu shiriki. Matokeo yake timu zikavaa jezi walizopewa na CHADEMA. Wananchi hawakuona tofauti na wakasema mashindano yote ni ya CHADEMA.
 
Hivi bado una kifua cha kutuita makolo.?? Zile kolokolooooo zote kwenye zile jezi za vinyesi hukuziona mkuu. [emoji23][emoji23][emoji23]. Ila mna majina VINYESI FC [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwa upo live Azam? Hamna watu uwanjani
 
Binafsi sina hata mzuka tena wa Simba day ,uzembe na ujinga ,wanajua wanambadili mdhamini sportpesa halafu sijui vunjabei hana taarifa analeta mpya ya yenye nembo ya sportpesa wakati ni mbet ,wametutia aibu hata mzuka sina
Wazembe tu hao
 
Yaani imenitoa kwenye mood,usajili tuko pamoja halafu jezi tu? Stupidity aisee
Screenshot_20220806-152222_Chrome.jpg

nadhani huyu mkinga atakuwa anahangaika na distribution
 
View attachment 2316126
nadhani huyu mkinga atakuwa anahangaika na distribution
Kesho watazindua labda mchana au jioni,utapataje na kesho kutwa uende Simba day? Watakuja na sound kwamba zinauzwa taifa pale nje,ndo visingizio vinakoenda ,wametukosea,walichofanya no more pride for Simba day kesho kutwa watu morali zinashuka
 
Hakuna watu eti?[emoji23][emoji23]nenda katafte midabwada yenu
Namtongoza mama yako nimnunulie ticket tuzame kwa mkapa baada ya mechi tujichimbie ndichi,kwahiyo wahi kumlipia mama yako nakupa dk 10 ,dk 11 namlipia baada ya mechi anyonye Koni za Azam.
 
Yani labada watoe jezi Kali ndo tutazinunua ila wakitutolea Kama za uto na huu ucheleweshaji ata kwa mkapa siendi
 
Back
Top Bottom