Simba yampa mwaliko Rais wa CAF, Patrice Motsepe kuwa mgeni rasmi Simba Day 2022

Simba yampa mwaliko Rais wa CAF, Patrice Motsepe kuwa mgeni rasmi Simba Day 2022

Namtongoza mama yako nimnunulie ticket tuzame kwa mkapa baada ya mechi tujichimbie ndichi,kwahiyo wahi kumlipia mama yako nakupa dk 10 ,dk 11 namlipia baada ya mechi anyonye Koni za Azam.
Ushabiki wa kisenge huu Mama yangu kafikaje hapa?
 
Hivi mwaka jana hadi kufikia kilele cha mwananch jezi zao mpya zilikuwa zimefika.?
 
Inasikitisha sana ndio maana watu wenye dini sana wanachukulia mpira kama ushetani kitu kidogo tu anatukana mtu asiyehusika tena mwanamke kama mama yake kwa maneno ya kudhalilisha ....

Inasikitisha sana nashindwa hata kutype zaidi ...
Kinyesi cha pili
 
Lkni hatuna uhakika wa jezi mpya.....

Kweli sisi Ni MAKOLO
Tutatumia zile za sportpesa! Tutakachofanya ni kubandua nembo ya mdhamini wa zamani, halafu tunaweka nembo ya mdhamini mpya kwa juu kama walivyofanya wachezaji wetu.

Maana hakuna namna nyingine.
 
Binafsi sina hata mzuka tena wa Simba day ,uzembe na ujinga ,wanajua wanambadili mdhamini sportpesa halafu sijui vunjabei hana taarifa analeta mpya ya yenye nembo ya sportpesa wakati ni mbet ,wametutia aibu hata mzuka sina
Wewe kama huna mzuka, wenzako akina cocastic na Kalpana wako saluni muda huu wakijipodoa kwa ajili ya thimba dei!

Ila kiukweli Mbet atakuwa hajatendewa haki, iwapo kweli ameweka kwenye akaunti mzigo wa bilioni 26!!!
 
Namtongoza mama yako nimnunulie ticket tuzame kwa mkapa baada ya mechi tujichimbie ndichi,kwahiyo wahi kumlipia mama yako nakupa dk 10 ,dk 11 namlipia baada ya mechi anyonye Koni za Azam.
Chonde chonde mtani. Jitahidi kuzuia hasira. Ni kweli mna dukuduku mioyoni mwenu kutokana na suala zima la jezi. Lakini mtuvumilie tu. Leo ni siku yetu wananchi.
 
Mimi nasikia uchungu mtu akimtukana Mzazi wa mwenzake kwa halo yeyote ile kwani kuna wengine hawajawahi hata kuwaona wazazi wao zaidi ya kuwasikia na wengine wamewapoteza hivyo inaumiza sana mtu akiwa anawatuka watu ambao hawajui usioombe Mwenyezi Mungu akupe mtihani huo na wewe uone uchungu wake.

#MachanaMwema#Nimemaliza
Achana nae huyo ana laana ushabiki tu mpaka tuna tukaninana wazazi tena humu hata hatufahamiani
 
Kesho watazindua labda mchana au jioni,utapataje na kesho kutwa uende Simba day? Watakuja na sound kwamba zinauzwa taifa pale nje,ndo visingizio vinakoenda ,wametukosea,walichofanya no more pride for Simba day kesho kutwa watu morali zinashuka
Simba day waisogeze mbele
 
Wewe kama huna mzuka, wenzako akina cocastic na Kalpana wako saluni muda huu wakijipodoa kwa ajili ya thimba dei!

Ila kiukweli Mbet atakuwa hajatendewa haki, iwapo kweli ameweka kwenye akaunti mzigo wa bilioni 26!!!
Shougaaaaaa angu, nakutafuta sana. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tena kesho naenda saloon, kujipodoa haswaaaah, hadi shem wako anitongoze ya pili.

Byuti byuti.
 
Back
Top Bottom