ukikaidi utapigwa2
JF-Expert Member
- Feb 24, 2015
- 15,265
- 29,991
Ushabiki wa kisenge huu Mama yangu kafikaje hapa?Namtongoza mama yako nimnunulie ticket tuzame kwa mkapa baada ya mechi tujichimbie ndichi,kwahiyo wahi kumlipia mama yako nakupa dk 10 ,dk 11 namlipia baada ya mechi anyonye Koni za Azam.
Inasikitisha sana ndio maana watu wenye dini sana wanachukulia mpira kama ushetani kitu kidogo tu anatukana mtu asiyehusika tena mwanamke kama mama yake kwa maneno ya kudhalilisha ....Ushabiki wa kisenge huu Mama yangu kafikaje hapa?
Kinyesi cha piliInasikitisha sana ndio maana watu wenye dini sana wanachukulia mpira kama ushetani kitu kidogo tu anatukana mtu asiyehusika tena mwanamke kama mama yake kwa maneno ya kudhalilisha ....
Inasikitisha sana nashindwa hata kutype zaidi ...
Tutatumia zile za sportpesa! Tutakachofanya ni kubandua nembo ya mdhamini wa zamani, halafu tunaweka nembo ya mdhamini mpya kwa juu kama walivyofanya wachezaji wetu.Lkni hatuna uhakika wa jezi mpya.....
Kweli sisi Ni MAKOLO
Wewe kama huna mzuka, wenzako akina cocastic na Kalpana wako saluni muda huu wakijipodoa kwa ajili ya thimba dei!Binafsi sina hata mzuka tena wa Simba day ,uzembe na ujinga ,wanajua wanambadili mdhamini sportpesa halafu sijui vunjabei hana taarifa analeta mpya ya yenye nembo ya sportpesa wakati ni mbet ,wametutia aibu hata mzuka sina
Chonde chonde mtani. Jitahidi kuzuia hasira. Ni kweli mna dukuduku mioyoni mwenu kutokana na suala zima la jezi. Lakini mtuvumilie tu. Leo ni siku yetu wananchi.Namtongoza mama yako nimnunulie ticket tuzame kwa mkapa baada ya mechi tujichimbie ndichi,kwahiyo wahi kumlipia mama yako nakupa dk 10 ,dk 11 namlipia baada ya mechi anyonye Koni za Azam.
Achana nae huyo ana laana ushabiki tu mpaka tuna tukaninana wazazi tena humu hata hatufahamianiMimi nasikia uchungu mtu akimtukana Mzazi wa mwenzake kwa halo yeyote ile kwani kuna wengine hawajawahi hata kuwaona wazazi wao zaidi ya kuwasikia na wengine wamewapoteza hivyo inaumiza sana mtu akiwa anawatuka watu ambao hawajui usioombe Mwenyezi Mungu akupe mtihani huo na wewe uone uchungu wake.
#MachanaMwema#Nimemaliza
Kwan coca n braza?Una utani na braza coca
Simba day waisogeze mbeleKesho watazindua labda mchana au jioni,utapataje na kesho kutwa uende Simba day? Watakuja na sound kwamba zinauzwa taifa pale nje,ndo visingizio vinakoenda ,wametukosea,walichofanya no more pride for Simba day kesho kutwa watu morali zinashuka
Shougaaaaaa angu, nakutafuta sana. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]