ngara23
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 16,871
- 39,881
Mwamuzi wa kati wa mchezo tajwa hapo juu, Henry Sasi amefungiwa miezi sita (6) kwa kosa la kushindwa kumudu mchezo huo baada ya kufanya maamuzi mengi yaliyoashiria kushindwa kutafsiri sheria 17 za mpira wa miguu.
Adhabu hiyo ni kwa mujibu wa Kanuni ya 42:1(1.1) ya Ligi Kuu kuhusu Udhibiti kwa Waamuzi.
Kocha wa viungo wa Klabu ya Simba, Riedoh Berdien ameadhibiwa kwa kufungiwa michezo mitatu (3) na kutozwa faini ya Sh. 1,000,000 (milioni moja) kwa kosa la kuanzisha vurugu kwa kurusha koni kwenye benchi la ufundi la Singida Black Stars walipokuwa wameketi maofisa wa ufundi na wachezaji wa akiba wa klabu hiyo.
Adhabu hii ni kwa mujibu wa Kanuni ya 45:2(2.1) ya ya Ligi Kuu kuhusu Udhibiti kwa Makocha.
Klabu ya Simba imeadhibiwa kwa kutozwa faini ya Sh. 5,000,000 (milioni tano) kwa kosa la mashabiki wake kurusha chupa za maji kiwanjani wakati wa mchezo tajwa hapo juu kwenye uwanja wa KMC Complex Mei 28, 2025.
Adhabu hii ni kwa mujibu wa kanuni ya 47:1 ya Ligi Kuu kuhusu Udhibiti kwa Klabu.
Mchezaji wa klabu ya Singida Black Stars, Jonathan Sowah ameadhibiwa kwa kutozwa faini ya Sh. 1,000,000 (milioni moja) kwa kosa la kuwaonesha ishara ya matusi mashabiki wa klabu ya Simba waliokuwa jukwaani, pamoja kitendo chake cha kung'oa kibendera cha kona.
Adhabu hii ni kwa mujibu wa kanuni ya 41:5(5.3) ya Ligi Kuu kuhusu Udhibiti kwa Wachezaji.
Mwamuzi wa kati wa mchezo tajwa hapo juu, Hery Sasii amefungiwa miezi sita (6) kwa kosa la kushindwa kumudu mchezo huo baada ya kufanya maamuzi mengi yaliyoashiria kushindwa kutafsiri vema sheria 17 za mpira wa miguu.
Adhabu hiyo ni kwa mujibu wa Kanuni ya 42:1(1.1) ya Ligi Kuu kuhusu Udhibiti kwa Waamuzi.
Kocha wa klabu ya Simba, Fadlu Davis ametozwa faini ya Sh. 2,000,000 (milioni mbili) kwa kosa la kuishutumu Bodi ya Ligi Kuu Tanzania kuwa ina ajenda tofauti kuhusiana na ratiba ya michezo ya klabu hiyo kwenye Ligi Kuu ya NBC. Fadlu alizungumza hayo alipokuwa anafanya mahojiano na Azam TV baada ya kumalizika kwa mchezo tajwa hapo juu, akionesha kutoridhishwa na ratiba ya michezo ya Ligi ya klabu yake.
Adhabu hiyo ni kwa mujibu wa Kanuni ya 45:2(2.9) ya Ligi Kuu kuhusu Udhibiti kwa Makocha.