Simba yamponza Heri Sasii, afungiwa miezi 6 kwa kushindwa kumudu mechi dhidi ya Singida Black Stars

KEFA Kayombo,Tatu Malogo, AMINA kyando
Halafu huyu anakosekanaje hapo?
20250520_155128.jpg
 
Mwamuzi wa kati wa mchezo tajwa hapo juu, Henry Sasi amefungiwa miezi sita (6) kwa kosa la kushindwa kumudu mchezo huo baada ya kufanya maamuzi mengi yaliyoashiria kushindwa kutafsiri sheria 17 za mpira wa miguu.

Adhabu hiyo ni kwa mujibu wa Kanuni ya 42:1(1.1) ya Ligi Kuu kuhusu Udhibiti kwa Waamuzi.

View attachment 3356049
Ni ile imepigwa Simba?
 
Huu ni uonevu mkubwa, binafsi sioni kama itasaidia chochote, si haki kumtoa kafara Sasii, kwanza washika vibendera wake pia walikula mpunga mbona wameachwa? Hii ni dhuluma bodi ya ligi haifai, imeshindwa kazi watoke wote sio yule mmoja tu, alichofanya Sasii ndicho wamefanya marefa wote waliochezesha mechi 10 za Simba, mfano marefa wa mechi za Simba vs Fountain Gate, Simba vs JKT, Simba vs Mashujaa, Simba vs KMC na marefa wengine wote wameendeleza utaratibu wa kuibeba Simba waziwazi bila aibu, refa pekee anaechezesha kwa haki ni Arajiga na ndie CAF wanamtambua, marefa wengine wote ni viazi mbatata tu labda kidogo Kayoko yuko mahali pazuri kidogo, kiufupi TFF waache uvivu, wapitie mechi zote za Simba za raundi ya pili, kila mechi refa na vibendera wake walivuruga na kuharibu kabisa ladha ya mpira na ligi kwa ujumla, hivi sasa ligi ya NBC imeoza kabisa, haina tena ladha ya ushindani hasa inapocheza Simba. Kila mtu anajua matokeo ya mechi za Simba hata wakamiwe vipi mwisho watabebwa na kushinda iwe kwa hiyari au lazima.

Kwasasa mechi za Simba hazitazamiki kwenye luninga ni aibu tupu na kuleta kinyaa, mpira gani huu timu zinaonewa na sote tunaona live bila chenga, Simba ikifungwa tu basi utaona refa ataibeba mpaka irudishe na kuongeza goli, mpira hauishi hadi Simba iwe na magoli ya kuzidi mpinzani. Ligi imewashinda bodi ya ligi watoke wote ladha ya ushindani irudi tena, Simba inazishusha daraja timu kwa uonevu wa marefa na vibendera wao, ni bora tusioneshwe mechi live maana inakera sana. Sijui kwanini Azam wako kimya udhamini wao unavurugwa na marefa wa mechi za Simba. Kwasasa ni wanayanga wachache bado wanaangalia live mechi za Simba, wengi huwa tunasubiri matokeo tu. Hata tukijadili matokeo huwa ni baada ya kupewa stori na watu mechi ilivyopigwa. Kiufupi mechi za Simba hazina tena mashabiki wa timu zingine, nobody cares no more! Zinatia kichefuchefu..

Ukitaka kuona utumbo wa kila mechi ya Simba , mechi ikipigwa usikose kuangalia kipindi cha kipyenga cha mwisho cha Othman Kazi kila alhamisi usiku utasema hii ligi sasa ni ndondo cup ya Faru Dume na Abajalo!! Yule refa anakuonesha kila uozo na hapindishi, big up sana Othman Kazi
 
Sijawahi kumsikia adhabu aliyopewa Kayoko Kama Kuna anajua anijuze
Japhet Smart aliyechezesha hovyo mechi ya Namungo vs Simba kwa kutoa kadi nyekundu isiyo na kosa kwa mchezaji wa Namungo, na pia penati za mchongo kwenye mechi hiyo hiyo; uliwahi kusikia ameadhibiwa?

Kepha Kayombo aliyelazimisha Mashujaa kufungwa kwenye mechi yao dhidi ya Simba, uliwahi kusikia ameadhibiwa? Halafu ukiulizwa kosa la Kayoko kwenye ile mechi yenu dhidi ya Yanga lilikuwa ni lipi? Maana kama ni goli pekee la ule mchezo lilikuwa ni la makosa ya wachezaji wenu wawili (Moussa Camara na Kelvin Kijili).
 
Sijawahi kumsikia adhabu aliyopewa Kayoko Kama Kuna anajua anijuze
Au nyinyi wenzetu mliandikiwa tu kushinda, hata kama hamkustahili?

Mbona mechi ya mzunguko wa kwanza wa ligi aliyochezesha Ahmed Arajiga kati ya Yanga vs Azam na Yanga kupoteza kwa goli 3! Mashabiki hatukumlaumu mwamuzi? Tena kwenye hiyo mechi Ibrahim Bacca alitolewa kwa kadi nyekundu kipindi cha kwanza tu.

Unafikiri ni kwa nini hatukumlaumu mwamuzi? Ni kwa sababu alichezesha ile mechi kwa kufuata sheria 17 za mpira wa miguuu. Na tuligundua makosa yalikuwa ni ya mchezaji wetu. Kwa hiyo na nyinyi mkatae kuwakumbatia baadhi ya waamuzi wa mchongo wanao haribu taswira nzuri ya mpira wa nchi yetu kwa maslahi yao binafsi.
 
Huu ni uonevu mkubwa, binafsi sioni kama itasaidia chochote, si haki kumtoa kafara Sasii, kwanza washika vibendera wake pia walikula mpunga mbona wameachwa? Hii ni dhuluma bodi ya ligi haifai, imeshindwa kazi watoke wote sio yule mmoja tu, alichofanya Sasii ndicho wamefanya marefa wote waliochezesha mechi 10 za Simba, mfano marefa wa mechi za Simba vs Fountain Gate, Simba vs JKT, Simba vs Mashujaa, Simba vs KMC na marefa wengine wote wameendeleza utaratibu wa kuibeba Simba waziwazi bila aibu, refa pekee anaechezesha kwa haki ni Arajiga na ndie CAF wanamtambua, marefa wengine wote ni viazi mbatata tu labda kidogo Kayoko yuko mahali pazuri kidogo, kiufupi TFF waache uvivu, wapitie mechi zote za Simba za raundi ya pili, kila mechi refa na vibendera wake walivuruga na kuharibu kabisa ladha ya mpira na ligi kwa ujumla, hivi sasa ligi ya NBC imeoza kabisa, haina tena ladha ya ushindani hasa inapocheza Simba. Kila mtu anajua matokeo ya mechi za Simba hata wakamiwe vipi mwisho watabebwa na kushinda iwe kwa hiyari au lazima.

Kwasasa mechi za Simba hazitazamiki kwenye luninga ni aibu tupu na kuleta kinyaa, mpira gani huu timu zinaonewa na sote tunaona live bila chenga, Simba ikifungwa tu basi utaona refa ataibeba mpaka irudishe na kuongeza goli, mpira hauishi hadi Simba iwe na magoli ya kuzidi mpinzani. Ligi imewashinda bodi ya ligi watoke wote ladha ya ushindani irudi tena, Simba inazishusha daraja timu kwa uonevu wa marefa na vibendera wao, ni bora tusioneshwe mechi live maana inakera sana. Sijui kwanini Azam wako kimya udhamini wao unavurugwa na marefa wa mechi za Simba. Kwasasa ni wanayanga wachache bado wanaangalia live mechi za Simba, wengi huwa tunasubiri matokeo tu. Hata tukijadili matokeo huwa ni baada ya kupewa stori na watu mechi ilivyopigwa. Kiufupi mechi za Simba hazina tena mashabiki wa timu zingine, nobody cares no more! Zinatia kichefuchefu..

Ukitaka kuona utumbo wa kila mechi ya Simba , mechi ikipigwa usikose kuangalia kipindi cha kipyenga cha mwisho cha Othman Kazi kila alhamisi usiku utasema hii ligi sasa ni ndondo cup ya Faru Dume na Abajalo!! Yule refa anakuonesha kila uozo na hapindishi, big up sana Othman Kazi
Umesahau mechi ya Coastal Union na Simba.. ilipigwa counter attack moja ya nguvu,ile jamaa anampindua beki wa Simba na kutoa pasi ili mpira uingie nyavuni,refa akamaliza mpira.
 
Japhet Smart aliyechezesha hovyo mechi ya Namungo vs Simba kwa kutoa kadi nyekundu isiyo na kosa kwa mchezaji wa Namungo, na pia penati za mchongo kwenye mechi hiyo hiyo; uliwahi kusikia ameadhibiwa?

Kepha Kayombo aliyelazimisha Mashujaa kufungwa kwenye mechi yao dhidi ya Simba, uliwahi kusikia ameadhibiwa? Halafu ukiulizwa kosa la Kayoko kwenye ile mechi yenu dhidi ya Yanga lilikuwa ni lipi? Maana kama ni goli pekee la ule mchezo lilikuwa ni la makosa ya wachezaji wenu wawili (Moussa Camara na Kelvin Kijili).m
Makosa ya Kayoko na Sasii yanafana kushindwa kutoa penati.
Kayoko oenati 3 wakati Sasii penati 2
 
Hizo penati 3 kwenye ule mchezo uliona wewe peke yako tu, au na wenzako pia waliziona! Na hapa tukijumlisha na tabia mbaya ya wachezaji wenu wawili (Shomary Kapombe na Kibu Denis) kupenda kujirusha ndani ya 28 ili kumdanganya mwamuzi?
 
Kwa hiyo bodi ikisimamisha mechi ya Simba na Yanga haipo sawa. Ila wakisimamisha mwamuzi iliyechezesha mechi inayohusisha Simba ipo sawa. Uto wenye akili wanafahamika ni wangapi.
 
Hivi na ile rafu ya Mpanzu kwa Kennedy wa Singida au ile CRDB ina kamati yake. Maana Mpanzu alikuwa anamvunja Kennedy.
 
Huu ni uonevu mkubwa, binafsi sioni kama itasaidia chochote, si haki kumtoa kafara Sasii, kwanza washika vibendera wake pia walikula mpunga mbona wameachwa? Hii ni dhuluma bodi ya ligi haifai, imeshindwa kazi watoke wote sio yule mmoja tu, alichofanya Sasii ndicho wamefanya marefa wote waliochezesha mechi 10 za Simba, mfano marefa wa mechi za Simba vs Fountain Gate, Simba vs JKT, Simba vs Mashujaa, Simba vs KMC na marefa wengine wote wameendeleza utaratibu wa kuibeba Simba waziwazi bila aibu, refa pekee anaechezesha kwa haki ni Arajiga na ndie CAF wanamtambua, marefa wengine wote ni viazi mbatata tu labda kidogo Kayoko yuko mahali pazuri kidogo, kiufupi TFF waache uvivu, wapitie mechi zote za Simba za raundi ya pili, kila mechi refa na vibendera wake walivuruga na kuharibu kabisa ladha ya mpira na ligi kwa ujumla, hivi sasa ligi ya NBC imeoza kabisa, haina tena ladha ya ushindani hasa inapocheza Simba. Kila mtu anajua matokeo ya mechi za Simba hata wakamiwe vipi mwisho watabebwa na kushinda iwe kwa hiyari au lazima.

Kwasasa mechi za Simba hazitazamiki kwenye luninga ni aibu tupu na kuleta kinyaa, mpira gani huu timu zinaonewa na sote tunaona live bila chenga, Simba ikifungwa tu basi utaona refa ataibeba mpaka irudishe na kuongeza goli, mpira hauishi hadi Simba iwe na magoli ya kuzidi mpinzani. Ligi imewashinda bodi ya ligi watoke wote ladha ya ushindani irudi tena, Simba inazishusha daraja timu kwa uonevu wa marefa na vibendera wao, ni bora tusioneshwe mechi live maana inakera sana. Sijui kwanini Azam wako kimya udhamini wao unavurugwa na marefa wa mechi za Simba. Kwasasa ni wanayanga wachache bado wanaangalia live mechi za Simba, wengi huwa tunasubiri matokeo tu. Hata tukijadili matokeo huwa ni baada ya kupewa stori na watu mechi ilivyopigwa. Kiufupi mechi za Simba hazina tena mashabiki wa timu zingine, nobody cares no more! Zinatia kichefuchefu..

Ukitaka kuona utumbo wa kila mechi ya Simba , mechi ikipigwa usikose kuangalia kipindi cha kipyenga cha mwisho cha Othman Kazi kila alhamisi usiku utasema hii ligi sasa ni ndondo cup ya Faru Dume na Abajalo!! Yule refa anakuonesha kila uozo na hapindishi, big up sana Othman Kazi
Umeandika kwa uchungu saana ila timu ya Simba inatia aibu mechi zenye utata ni nyingi sana
 
Nimecheka sanaa

Unatangaxa umemfungua miezi sita

LIGI INASIMAMA June mpaka Sept

Mns miezi MITATU yote ana relax

Kimahesabu umemfungia miezi MITATU na sio sita

Huu n uhuni

Mbaya zaidi na zaidi

Naona kwenye mtandao alishawahi fungiwa mns huyu BWANA hizi ndio DILI zake.....

UNAMFUNGIA mjini unamrudisha ofisini

Unaruka mkojo unakanyaga mavii AIBU sanasana

Anyway ndiosoka lenu
 
Mwamuzi wa kati wa mchezo tajwa hapo juu, Henry Sasi amefungiwa miezi sita (6) kwa kosa la kushindwa kumudu mchezo huo baada ya kufanya maamuzi mengi yaliyoashiria kushindwa kutafsiri sheria 17 za mpira wa miguu.

Adhabu hiyo ni kwa mujibu wa Kanuni ya 42:1(1.1) ya Ligi Kuu kuhusu Udhibiti kwa Waamuzi.

Kocha wa viungo wa Klabu ya Simba, Riedoh Berdien ameadhibiwa kwa kufungiwa michezo mitatu (3) na kutozwa faini ya Sh. 1,000,000 (milioni moja) kwa kosa la kuanzisha vurugu kwa kurusha koni kwenye benchi la ufundi la Singida Black Stars walipokuwa wameketi maofisa wa ufundi na wachezaji wa akiba wa klabu hiyo.

Adhabu hii ni kwa mujibu wa Kanuni ya 45:2(2.1) ya ya Ligi Kuu kuhusu Udhibiti kwa Makocha.

Klabu ya Simba imeadhibiwa kwa kutozwa faini ya Sh. 5,000,000 (milioni tano) kwa kosa la mashabiki wake kurusha chupa za maji kiwanjani wakati wa mchezo tajwa hapo juu kwenye uwanja wa KMC Complex Mei 28, 2025.

Adhabu hii ni kwa mujibu wa kanuni ya 47:1 ya Ligi Kuu kuhusu Udhibiti kwa Klabu.

Mchezaji wa klabu ya Singida Black Stars, Jonathan Sowah ameadhibiwa kwa kutozwa faini ya Sh. 1,000,000 (milioni moja) kwa kosa la kuwaonesha ishara ya matusi mashabiki wa klabu ya Simba waliokuwa jukwaani, pamoja kitendo chake cha kung'oa kibendera cha kona.

Adhabu hii ni kwa mujibu wa kanuni ya 41:5(5.3) ya Ligi Kuu kuhusu Udhibiti kwa Wachezaji.

Mwamuzi wa kati wa mchezo tajwa hapo juu, Hery Sasii amefungiwa miezi sita (6) kwa kosa la kushindwa kumudu mchezo huo baada ya kufanya maamuzi mengi yaliyoashiria kushindwa kutafsiri vema sheria 17 za mpira wa miguu.

Adhabu hiyo ni kwa mujibu wa Kanuni ya 42:1(1.1) ya Ligi Kuu kuhusu Udhibiti kwa Waamuzi.

Kocha wa klabu ya Simba, Fadlu Davis ametozwa faini ya Sh. 2,000,000 (milioni mbili) kwa kosa la kuishutumu Bodi ya Ligi Kuu Tanzania kuwa ina ajenda tofauti kuhusiana na ratiba ya michezo ya klabu hiyo kwenye Ligi Kuu ya NBC. Fadlu alizungumza hayo alipokuwa anafanya mahojiano na Azam TV baada ya kumalizika kwa mchezo tajwa hapo juu, akionesha kutoridhishwa na ratiba ya michezo ya Ligi ya klabu yake.

Adhabu hiyo ni kwa mujibu wa Kanuni ya 45:2(2.9) ya Ligi Kuu kuhusu Udhibiti kwa Makocha.
Yote hayo ni maigizo ili yanga warudishe imani yao kwa TFF na wacheze dabi.
 
Back
Top Bottom