Uto bwana,basi ushaumia tayari[emoji23]Akuna timu ya mwarabu inayoweza kumuacha mchezaji ambae ni Bora, uyu bwana amesajiliwa akiwa free agent baada ya u.s monasteries kumtema mwezi wa 11, kwa maana iyo matarajio yasiwe makubwa sana na akiba ya maneno!
Kuuumia kwa kipi labda ebu tuelezeUto bwana,basi ushaumia tayari[emoji23]
Tutajie katoka timu gani au ndio wachezaji wa mnadani😅😅😅Mkataba wa miaka miwili na nusu
Babacar Sarr, one more midfielder signing for Simba. [emoji599][emoji1241]
What I can say about him:
• He’s a DM who’s good in the challenges and build up play.
• He is good with long ball over both sides.
• He is also good with passing skills over short distance.
• Accuracy and power: good.
Sarr, Ngoma and Kanoute. That will be tough to break down. [emoji91]
Okra Masele Visungura amekaa miezi saba tu kashakuja uto
Aucho wakati anakuja Yanga Sc hakuwa mchezaji wa mnadani (free agent).?Au ndio wachezaji wa mnadani [emoji28][emoji28][emoji2960][emoji2960]
Kama Aucho na Makambo tu.Itakuwa ni Free agent Fc bila shaka.
Bongo nyoso, kuna muda tulitaka kuaminishwa kuwa Mzize ni under 20.Mwamba hatari 26yrs teh teh teh,unaweza ukakuta kacheza cha ndimu na Boko.
Ila sio mbaya kacheza na Ronaldo.
Wajinyee kwa hiyo SHKAMOO JAZZ BAND iliyopigwa kono la nyani. KHAMSA [emoji2772]?Mmeshaanza kujinyea enyi vyura [emoji16]
Alikujibu unitag!Tutajie katoka timu gani au ndio wachezaji wa mnadani😅😅😅
Unaonaje anauweza mziki wa ngoma na kanute au yeye ndio atakuwa wakuanzia sub tuMkataba wa miaka miwili na nusu
Babacar Sarr, one more midfielder signing for Simba. [emoji599][emoji1241]
What I can say about him:
• He’s a DM who’s good in the challenges and build up play.
• He is good with long ball over both sides.
• He is also good with passing skills over short distance.
• Accuracy and power: good.
Sarr, Ngoma and Kanoute. That will be tough to break down. [emoji91]
Okra Masele Visungura amekaa miezi saba tu kashakuja uto
Kwenye mfumo wa 4-3-3 wote wakicheza itakuwa balaa.Unaonaje anauweza mziki wa ngoma na kanute au yeye ndio atakuwa wakuanzia sub tu
Rudi shule ukapunguze ujinga wa kutafuta taarifa mtandaoniKwa muujibu wa wikipedia narudia tena kwa muujibu wa wikipedia BABACAR SARR ni mchezaji wa mpira wa miguu kutoka senegal, mtuhumiwa wa ubakaji mara mbili, hakuwahi kuonekana mahakamani, anatafutwa na interpol pia hajulikani alipo kwa sasa.
Mara ya mwisho jamaa kucheza ni lini? Yasije kutukuta ya sawadogo maana dah pale katkat pamuhm sana mkuuKwenye mfumo wa 4-3-3 wote wakicheza itakuwa balaa.
Ukimfananisha na Sawadogo haumtendei haki. Mbona katokea Saudi Pro league? Unadhani kwenda kule ni jambo dogo?Mara ya mwisho jamaa kucheza ni lini? Yasije kutukuta ya sawadogo maana dah pale katkat pamuhm sana mkuu
Daaaah... Chibu hapa ungeficha upumbavu wako. Unafanya wanayanga wote tuonekane vilaza. Unayemsema wewe ni mwingine. Elewa maana ya neno FORMER.Kwa muujibu wa wikipedia narudia tena kwa muujibu wa wikipedia BABACAR SARR ni mchezaji wa mpira wa miguu kutoka senegal, mtuhumiwa wa ubakaji mara mbili, hakuwahi kuonekana mahakamani, anatafutwa na interpol pia hajulikani alipo kwa sasa.
Actually 38 yrs.Age
33yrs
Born 15 Feb 1991
Tulia sasa kama unaona ni wazee kwa nini hamtulii kila mkiamka ni Simba, mkilala ni Simba, hao wazee walikuchanjeni chale?Wajinyee kwa hiyo SHKAMOO JAZZ BAND iliyopigwa kono la nyani. KHAMSA [emoji2772]?
Hivi kumbe wewe hata Google huwezi kuitumia kujiridhisha. Mitanzania ndivyo tulivyo. Everywhere fakenActually 38 yrs.
Keshamaliza kila kitu 😂Daaaah... Chibu hapa ungeficha upumbavu wako. Unafanya wanayanga wote tuonekane vilaza.