Simba yamsajili kiungo Babacar Sarr

Simba yamsajili kiungo Babacar Sarr

Akuna timu ya mwarabu inayoweza kumuacha mchezaji ambae ni Bora, uyu bwana amesajiliwa akiwa free agent baada ya u.s monasteries kumtema mwezi wa 11, kwa maana iyo matarajio yasiwe makubwa sana na akiba ya maneno!
Uto bwana,basi ushaumia tayari[emoji23]
 
Mkataba wa miaka miwili na nusu

Babacar Sarr, one more midfielder signing for Simba. [emoji599][emoji1241]

What I can say about him:

• He’s a DM who’s good in the challenges and build up play.

• He is good with long ball over both sides.

• He is also good with passing skills over short distance.

• Accuracy and power: good.

Sarr, Ngoma and Kanoute. That will be tough to break down. [emoji91]

Okra Masele Visungura amekaa miezi saba tu kashakuja uto
Tutajie katoka timu gani au ndio wachezaji wa mnadani😅😅😅
 
Mkataba wa miaka miwili na nusu

Babacar Sarr, one more midfielder signing for Simba. [emoji599][emoji1241]

What I can say about him:

• He’s a DM who’s good in the challenges and build up play.

• He is good with long ball over both sides.

• He is also good with passing skills over short distance.

• Accuracy and power: good.

Sarr, Ngoma and Kanoute. That will be tough to break down. [emoji91]

Okra Masele Visungura amekaa miezi saba tu kashakuja uto
Unaonaje anauweza mziki wa ngoma na kanute au yeye ndio atakuwa wakuanzia sub tu
 
Kwa muujibu wa wikipedia narudia tena kwa muujibu wa wikipedia BABACAR SARR ni mchezaji wa mpira wa miguu kutoka senegal, mtuhumiwa wa ubakaji mara mbili, hakuwahi kuonekana mahakamani, anatafutwa na interpol pia hajulikani alipo kwa sasa.
Rudi shule ukapunguze ujinga wa kutafuta taarifa mtandaoni
 
Ufalme wa SIMBA unarudi taratibu..
 
Mara ya mwisho jamaa kucheza ni lini? Yasije kutukuta ya sawadogo maana dah pale katkat pamuhm sana mkuu
Ukimfananisha na Sawadogo haumtendei haki. Mbona katokea Saudi Pro league? Unadhani kwenda kule ni jambo dogo?

Pia kabla ya hapo alikuwa Monasir. Ni kuingo mkabaji lakini yuko vyema kwenye shootings…
 
Kwa muujibu wa wikipedia narudia tena kwa muujibu wa wikipedia BABACAR SARR ni mchezaji wa mpira wa miguu kutoka senegal, mtuhumiwa wa ubakaji mara mbili, hakuwahi kuonekana mahakamani, anatafutwa na interpol pia hajulikani alipo kwa sasa.
Daaaah... Chibu hapa ungeficha upumbavu wako. Unafanya wanayanga wote tuonekane vilaza. Unayemsema wewe ni mwingine. Elewa maana ya neno FORMER.
 
Wajinyee kwa hiyo SHKAMOO JAZZ BAND iliyopigwa kono la nyani. KHAMSA [emoji2772]?
Tulia sasa kama unaona ni wazee kwa nini hamtulii kila mkiamka ni Simba, mkilala ni Simba, hao wazee walikuchanjeni chale?
 
Back
Top Bottom