DullyJr
JF-Expert Member
- Apr 10, 2011
- 13,983
- 11,857
- Thread starter
- #41
Uto bwana,basi ushaumia tayari[emoji23]Akuna timu ya mwarabu inayoweza kumuacha mchezaji ambae ni Bora, uyu bwana amesajiliwa akiwa free agent baada ya u.s monasteries kumtema mwezi wa 11, kwa maana iyo matarajio yasiwe makubwa sana na akiba ya maneno!