mkopeshaji 123
New Member
- Dec 11, 2014
- 3
- 2
Soka la Tanzania kuendelea ngumu sana yaani wanatumia hela nyingi kila msimu
Timu za wajinga zinaendeshwa kijinga na zinacheza kijinga ndiyo maana zinashindwa kijinga kwa hali hii ligi itaendelea kuwa ya kijinga.
Kama muanzisha thread hii angekuwa anafuatilia matukio ya kandanda nchini hususan sakata la kocha Goran, asingeianzisha kwa mtindo huu. Kutumia maneno kwamba 'wamemtupia virago' kunaonyesha mwandishi hakutaka kujiuliza hata sababu.
Huyu kocha alikuwa amemaliza mkataba wake kuifundisha Simba. Alipopewa mkataba mpya akakataa kusaini na akaweka masharti ya kiwango kikubwa cha fedha za kusaini cha sh. milioni 100 na mshahara wa sh. milioni 16 kila mwezi. Simba wakamwambia kuwa hela hizo ni nyingi, na wakampa ofa yao ambayo ameikataa. Sasa hapo utasema Simba wamemtupia virago Goran? Basi ni sawa na kusema Yanga wamemtupia virago Mrisho Ngassa kwani sakata lake ni kama hili la kocha Goran!
Capt. (mstaafu) Hans... unaimaliza Simba
Capt. (mstaafu) Hans... unaimaliza Simba
Comments za watu wengi humu zinaonyesha kulalamikia soka la Bongo.
Baada ya kulalamikia soka la timu yao kwanza...!
Yaani timu yenu ikifanya Umbumbumbu basi Unadhani na wengine wanafanya hikohiko.
Simba mpaka sasa imefukuza MAKOCHA wasiopungua watano 5 katika kipindi cha miaka 5.
Hakuna Klabu ambayo imeshafanya hivyo. Hiyo ni record ya kipekee.
Soka letu halijawahi kupiga hatua hata moja kwenda Mbele,
zote zinarudi nyuma.
Cape Verde wametupita,hadi somalia pia watasonga Mbele
Umenena vyema Mkuu. Mambo ya Simba yasemwe kuwa ya Simba, Yanga au Azam nk. Tusiite mambo ya timu yoyote kuwa ya Bongo.
Kaburi kinaletwa na kuchombezwa na Azam. Anadhani Azam atapata pesa nyingi sana. Anaweza kukosa vyote.
Angechukua ubingwa angedai mshahara wa Mourihno kabisa.
Hata akijaYesu kufundisha sola la bongo, kwa spidi hii, hatutoboi!
Kwa speed ya club ya simba, hamto toboa.!