Simba yamtupia virago KOPUNOVIC,yamleta mbelgiji PIET DE MOL!!!

Simba yamtupia virago KOPUNOVIC,yamleta mbelgiji PIET DE MOL!!!

Soka la Tanzania kuendelea ngumu sana yaani wanatumia hela nyingi kila msimu

sababu za kocha kuondoka alikuwa anahitaj mshahara mkubwa sana its 14mil per month na 100mill ili asaign mkataba ..tusipende kujihukumu ti. dats money its alot kwa SSC eventhough soka linaendeshwa kimagumashi
 
Kama muanzisha thread hii angekuwa anafuatilia matukio ya kandanda nchini hususan sakata la kocha Goran, asingeianzisha kwa mtindo huu. Kutumia maneno kwamba 'wamemtupia virago' kunaonyesha mwandishi hakutaka kujiuliza hata sababu.

Huyu kocha alikuwa amemaliza mkataba wake kuifundisha Simba. Alipopewa mkataba mpya akakataa kusaini na akaweka masharti ya kiwango kikubwa cha fedha za kusaini cha sh. milioni 100 na mshahara wa sh. milioni 16 kila mwezi. Simba wakamwambia kuwa hela hizo ni nyingi, na wakampa ofa yao ambayo ameikataa. Sasa hapo utasema Simba wamemtupia virago Goran? Basi ni sawa na kusema Yanga wamemtupia virago Mrisho Ngassa kwani sakata lake ni kama hili la kocha Goran!
 
Ndio hawa.. ambao wakisikia wakina Shaffih dauda wanasema kitu basi wanabeba hivyo hivyo na kuanza hadithia watu
 
Comments za watu wengi humu zinaonyesha kulalamikia soka la Bongo.
Baada ya kulalamikia soka la timu yao kwanza...!

Yaani timu yenu ikifanya Umbumbumbu basi Unadhani na wengine wanafanya hikohiko.

Simba mpaka sasa imefukuza MAKOCHA wasiopungua watano 5 katika kipindi cha miaka 5.

Hakuna Klabu ambayo imeshafanya hivyo. Hiyo ni record ya kipekee.
 
Umenena vyema Mkuu. Mambo ya Simba yasemwe kuwa ya Simba, Yanga au Azam nk. Tusiite mambo ya timu yoyote kuwa ya Bongo.
 
Soka letu halijawahi kupiga hatua hata moja kwenda Mbele,

zote zinarudi nyuma.

Cape Verde wametupita,hadi somalia pia watasonga Mbele

Siku SOMALIA wakituzidi kisoka, nitatafuta mchezo wa kushabikia, na naona kabisa karata na bao vitanihusu!
 
Simba Wamefulia sana wameshindwa kumlipa kocha bora timu wampe Julio
 
Viongozi wa simba kwa hili wako sahihi kabisa nawaunga mkono kwa asilimia 100%. Huyo kocha hataki kuendelea na simba ndio maana kataja pesa ndefu. Haitajiki akili ya ziada kutambua hili. Kama alitegemea kwenda azam imekula kwake maana stewart hall anachukua timu labda tu iwe timu nyingine iwe inamuhitaji.
 
Kaburi kinaletwa na kuchombezwa na Azam. Anadhani Azam atapata pesa nyingi sana. Anaweza kukosa vyote.
Angechukua ubingwa angedai mshahara wa Mourihno kabisa.

mkuu...hapana

Pale Simba kuna tatizo ...tena kubwa sana.....Umejiuliza hizo pesa ambazo hua zinapatikana zinaenda wapi?

Jiulize na wewe...hivi ni sawa kwa kocha kumfundisha mchezaji anayelipwa pesa nyingi kwa mbaliiii zaidi yake?

Kuna vitu inabidi tujue kuwa kina Hanspope ndio wanaiharibu timu

Kopunovic alishaijulia simba..wachezaji walishamuelewa....sasa wewe unakimbilia kutafuta cheap labor mwingine na unategemea timu ifanye vizuri...huyo cheap labor aje na style yake tofauti...ligi inaanza mwezi wa nane

Lets be realistic
 
Hata akijaYesu kufundisha sola la bongo, kwa spidi hii, hatutoboi!
 
Kwa speed ya club ya simba, hamto toboa.!

simba na Yanga mifumo ya wote ni ile ile tu

Timu hazina pesa

Ni ombaomba kwa matajiri wachache kama kina Manji

Kwa hio tukianza ku argue kwa mtazamo chanya usio wa kishabiki Simba na Yanga kuna matatizo makubwa ya kimfumo
 
Back
Top Bottom