Simba yamtupia virago KOPUNOVIC,yamleta mbelgiji PIET DE MOL!!!


Mambo yaliyonipa raha kwenye hiyo habari uliyoleta
1. Yanga ni ya kimataifa kitambo kumbe
2. Wapo wachezaji walikuwa first eleven 2011 mpaka leo wapo first elven duh
 
Kwa hili nawaunga mkono viongozi, pale hatukuwa na kocha.

Kaka katavi suala hapo wameshindana maslahi,lakin kopunovic bonge la kocha.tatizo kopunovic anataka mshahara mkubwa wakat mtu mzima alijisemea kuwa simba hali ni mbaya ya kiuchumi.
 
Hivo James siang'a aliendaga wap?

Mkuu, "mtalaamu" James Aggrey Siang'a yupo nchini kwao akiwa katika hali isiyo nzuri.. kwani anasumbuliwa na kisukari pia kakatwa mguu mmoja. Kazi anayofanya sasa ni kupiga tempo ya kufundsha soka mara moja moja katka akademi na shule mbali mbali nchini Kenya.
 

Hivi Simba imemchangia kiasi gani kwa ajili ya matibabu yake?
 
Hivi Simba imemchangia kiasi gani kwa ajili ya matibabu yake?

Sifahamu ni kwa kiasi gani Simba Sc imemsaidia... ila..

Siang'a alishafundisha timu ya taifa lake.. lakini mpaka sasa serikali yake haina habari nae.

Siang'a alishafundsha Mtibwa, Kagera, nadhani na Moro United akiwa Tanzania bila kusahau timu kadhaa za nchini kwake.. lakini zote hizo hazina habari nae.

Jambo la msingi ni hizi timu kukaa pamoja na kuona zinamsaidiaje, japo si lazima.
 
Kocha huyu anasubiri nini au hawana pesa ya kocha mpya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…