Simba Yanga kesho hakuna mbabe

Simba Yanga kesho hakuna mbabe

"Maadui wakubwa Wa Taifa letu ni.
Umasikini.
Ujinga.
Maradhi"

Julius kambarage Nyerere
IRP BABA WA TAIFA.
 
Yaani Yanga hii hii itoke 0-0 ndani ya dakika zote 90! Tena dhidi ya timu ambayo kila mechi imekuwa ikiruhusu magoli ya kufungwa!!

I wish Ayoub (golikipa mwenye thamani ya Tsh bilioni 3) angeanza pale golini hiyo kesho, ili akutane uso kwa uso na watu wakatili kama Max Nzengeli, Pacome ZouaZoua, Azii Kii, Clement Mzize, Kennedy Musonda, Mudathir Yahya Abbas, na wengineo wengi.
 
Back
Top Bottom