Simba, Yanga na Azam katika hadhi ya nchi tatu za E. Africa

Ndugudu

Senior Member
Joined
Aug 15, 2022
Posts
190
Reaction score
184
Hivi eti klabu za Simba, Yanga na Azam ukizipa hadhi ya nchi tatu za East Africa, yaani Kenya, Uganda na Tanzania, klabu ipi itaipa nchi gani.

Mimi naanza hivi:
Yanga = Kenya
Simba = Tanzania
Azam = Uganda

Karibuni.
 
hapo kwa Simba kuipa tz sahihi ndo mkombozi pekee kwa nchi kimataifa.

Kenya kisoka awapo kimataifa ni sahihi kuwapa Utopwezo.

Azam walichotufanya Simba leo hii ipo siku watakijutia.ni kama Id Amin wa Uganda kilichompata kutoka tz/Simba alikimbia nchi.
 
Hovyooo kubwa jinga
 
Back
Top Bottom