N Ndugudu Senior Member Joined Aug 15, 2022 Posts 190 Reaction score 184 Oct 27, 2022 #1 Hivi eti klabu za Simba, Yanga na Azam ukizipa hadhi ya nchi tatu za East Africa, yaani Kenya, Uganda na Tanzania, klabu ipi itaipa nchi gani. Mimi naanza hivi: Yanga = Kenya Simba = Tanzania Azam = Uganda Karibuni.
Hivi eti klabu za Simba, Yanga na Azam ukizipa hadhi ya nchi tatu za East Africa, yaani Kenya, Uganda na Tanzania, klabu ipi itaipa nchi gani. Mimi naanza hivi: Yanga = Kenya Simba = Tanzania Azam = Uganda Karibuni.
fundi bishoo JF-Expert Member Joined Jun 26, 2018 Posts 14,264 Reaction score 27,132 Oct 27, 2022 #2 Nazi mbatata .
Waminyato JF-Expert Member Joined Jun 22, 2022 Posts 2,197 Reaction score 4,525 Oct 27, 2022 #3 hapo kwa Simba kuipa tz sahihi ndo mkombozi pekee kwa nchi kimataifa. Kenya kisoka awapo kimataifa ni sahihi kuwapa Utopwezo. Azam walichotufanya Simba leo hii ipo siku watakijutia.ni kama Id Amin wa Uganda kilichompata kutoka tz/Simba alikimbia nchi.
hapo kwa Simba kuipa tz sahihi ndo mkombozi pekee kwa nchi kimataifa. Kenya kisoka awapo kimataifa ni sahihi kuwapa Utopwezo. Azam walichotufanya Simba leo hii ipo siku watakijutia.ni kama Id Amin wa Uganda kilichompata kutoka tz/Simba alikimbia nchi.
Medecin JF-Expert Member Joined Nov 29, 2011 Posts 8,221 Reaction score 22,496 Oct 27, 2022 #4 Waminyato said: hapo kwa Simba kuipa tz sahihi ndo mkombozi pekee kwa nchi kimataifa. Kenya kisoka awapo kimataifa ni sahihi kuwapa Utopwezo. Azam walichotufanya Simba leo hii ipo siku watakijutia.ni kama Id Amin wa Uganda kilichompata kutoka tz/Simba alikimbia nchi. Click to expand... Hovyooo kubwa jinga
Waminyato said: hapo kwa Simba kuipa tz sahihi ndo mkombozi pekee kwa nchi kimataifa. Kenya kisoka awapo kimataifa ni sahihi kuwapa Utopwezo. Azam walichotufanya Simba leo hii ipo siku watakijutia.ni kama Id Amin wa Uganda kilichompata kutoka tz/Simba alikimbia nchi. Click to expand... Hovyooo kubwa jinga