Wapokwe tu hakuna namna nyingine!Simba hajapokwa points tu bado?
Mambo na Kessy na masuala ya Uhamiaji ni mbingu na nchi. So far nimesikia upande wa Yanga tatizo ni Makocha si wachezaji kuhusu mambo ya Uhamiaji.Huu msiba sio wa klabu moja tu unahusu klabu zote tatu, ukiwapoka simba tu, wakati Chirwa amecheza ligii hii hii na hana kibari cha kazi bali ana kibari cha ukaazi tu, Yanga wako nyuma ya Ndanda, badala ya mlitakiwa wakati huu mujiweke karibu na Simba, ili mambo ya Kessy yamalizwe kama yalivyoamliwa na TFF, nyie mnazidi kujiweka ubaya na Simba. Simba wakienda mbele mechi zote alizo cheza Kessy hamna chenu.
. Simba wakienda mbele mechi zote alizo cheza Kessy hamna chenu.
Mkuu bado uko usingizini nini? Kwani nano amewazuia hao simba "kuenda mbele".
Wanajua fika kuwa huko mbele hawana uwezo wa kukabiliana nako..... Ndio maana wameacha yaishie hewani....
[emoji23][emoji23]Njaa mbaya sana
Mnyama kaandika barua TFF ili alipwe zile million 50 za Kessy.
Na hilo la makocha sana sana ni nusu tatizo, lisilotosheleza kuichukulia timu hatua kwa sababu kinachokosekana ni kibali cha ukaazi tu (ambacho kinaweza kulipwa baadaye hata kama na faini juu); kibali cha kazi anacho tayari. Ni tofauti na Simba ambayo wachezaji na makocha hawana kibali cha ukaazi wala cha kufanyia kazi!Mambo na Kessy na masuala ya Uhamiaji ni mbingu na nchi. So far nimesikia upande wa Yanga tatizo ni Makocha si wachezaji kuhusu mambo ya Uhamiaji.
Hivi Ndanda hawana haki ya kulalamika kama wakiona wanaonewa?
Ni dhahiri kwamba kama pingamizi la Ndanda litafanikiwa, Yanga na Azam watanufaika lakini haimaanishi wao ndiyo wanaisukuma Ndanda inayotafuta haki yake!
Ngoja tumsikie Kaburu tena. Uhamiaji wamemzima kabisa. Suala la Ndanda analipeleka Yanga. Kaishiwa hoja.Na hilo la makocha sana sana ni nusu tatizo, lisilotosheleza kuichukulia timu hatua kwa sababu kinachokosekana ni kibali cha ukaazi tu (ambacho kinaweza kulipwa baadaye hata kama na faini juu); kibali cha kazi anacho tayari. Ni tofauti na Simba ambayo wachezaji na makocha hawana kibali cha ukaazi wala cha kufanyia kazi!
Hivi Mavugo mtaalamu anamzidi Chirwa bomu kwa mabao mangapi vile?Wachezaji wamelipiwa vibali na makocha wamelipiwa. Tafuta lingine.
Mishahara ya wachezaji imelipwa?Nasikia wamepanga kugoma kwa sababu Chirwa ambaye ni mchezaji bomu amekuwa akilipwa milioni 10.