Simba,Yanga na Azam zapigwa stop kuwachezesha wachezaji wa kigeni.

Adolph Jr

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2016
Posts
5,950
Reaction score
9,511
Klabu za mpira wa miguu Tanzania Simba, Yanga na Azam fc zapigwa marufuku kuwachezesha wachezaji wa kigeni kutokana na kutokukamilisha utaratibu wa uhamiaji na vibari vya wachezaji wa kigeni kutoka katika nchi zao, zoezi hilo limeendana na kupewa lisaa limoja tu(one hour) kuweza kukamilishwa taratibu hizo...
Source: Radio one Tanzania
 
Jamaa wanaomba poo? Wacheze mpira point 3 zipo uwanjani si mezani.
 
Huu msiba sio wa klabu moja tu unahusu klabu zote tatu, ukiwapoka simba tu, wakati Chirwa amecheza ligii hii hii na hana kibari cha kazi bali ana kibari cha ukaazi tu, Yanga wako nyuma ya Ndanda, badala ya mlitakiwa wakati huu mujiweke karibu na Simba, ili mambo ya Kessy yamalizwe kama yalivyoamliwa na TFF, nyie mnazidi kujiweka ubaya na Simba. Simba wakienda mbele mechi zote alizo cheza Kessy hamna chenu.
 
Mambo na Kessy na masuala ya Uhamiaji ni mbingu na nchi. So far nimesikia upande wa Yanga tatizo ni Makocha si wachezaji kuhusu mambo ya Uhamiaji.

Hivi Ndanda hawana haki ya kulalamika kama wakiona wanaonewa?

Ni dhahiri kwamba kama pingamizi la Ndanda litafanikiwa, Yanga na Azam watanufaika lakini haimaanishi wao ndiyo wanaisukuma Ndanda inayotafuta haki yake!
 
. Simba wakienda mbele mechi zote alizo cheza Kessy hamna chenu.

Mkuu bado uko usingizini nini? Kwani nano amewazuia hao simba "kuenda mbele".

Wanajua fika kuwa huko mbele hawana uwezo wa kukabiliana nako..... Ndio maana wameacha yaishie hewani....
 
Njaa mbaya sana

Mnyama kaandika barua TFF ili alipwe zile million 50 za Kessy.
 
Na kweli njaa mbaya inasababisha wachezaji wagome na viongozi uchwara watoe ahadi feki.Nasikia wanagomea mchezaji bomu kulipwa milioni 10.
 
Mambo na Kessy na masuala ya Uhamiaji ni mbingu na nchi. So far nimesikia upande wa Yanga tatizo ni Makocha si wachezaji kuhusu mambo ya Uhamiaji.

Hivi Ndanda hawana haki ya kulalamika kama wakiona wanaonewa?

Ni dhahiri kwamba kama pingamizi la Ndanda litafanikiwa, Yanga na Azam watanufaika lakini haimaanishi wao ndiyo wanaisukuma Ndanda inayotafuta haki yake!
Na hilo la makocha sana sana ni nusu tatizo, lisilotosheleza kuichukulia timu hatua kwa sababu kinachokosekana ni kibali cha ukaazi tu (ambacho kinaweza kulipwa baadaye hata kama na faini juu); kibali cha kazi anacho tayari. Ni tofauti na Simba ambayo wachezaji na makocha hawana kibali cha ukaazi wala cha kufanyia kazi!
 
Ngoja tumsikie Kaburu tena. Uhamiaji wamemzima kabisa. Suala la Ndanda analipeleka Yanga. Kaishiwa hoja.
 
Wachezaji wamelipiwa vibali na makocha wamelipiwa. Tafuta lingine.
Mishahara ya wachezaji imelipwa?Nasikia wamepanga kugoma kwa sababu Chirwa ambaye ni mchezaji bomu amekuwa akilipwa milioni 10.
 
Hivi rufaa yenu dhidi ya Stendi United imeshatolewa uamuzi?Mmepewa pointi 3 za mezani.?
 
Wachezaji wamelipiwa vibali na makocha wamelipiwa. Tafuta lingine.
Mishahara ya wachezaji imelipwa?Nasikia wamepanga kugoma kwa sababu Chirwa ambaye ni mchezaji bomu amekuwa akilipwa milioni 10.
Hivi Mavugo mtaalamu anamzidi Chirwa bomu kwa mabao mangapi vile?
 
Huo ubomu ni kwa mujibu wa mashabiki wenu na wachezaji wenu. Mavugo amenunuliwa kwa bei ya kawaida sio milioni 200.Licha ya kutofunga magoli mengi lakini mchango wake wa pekee umefanya tushinde mechi 2 ngumu dhidi ya Stendi United na Ruvu Shooting. Hilo bomu lenu bei aliyonunuliwa milioni 200 na mshahara wa millioni 10 kwa mwezi havilingani na mchango wake.Ndio maana ameishia kuwa tactical sub katika mechi dhidi ya Ruvu Stars kuingizwa dakika ya 89.
 
Back
Top Bottom