Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Kila siku huwa najiuliza hivi ni kweli hivi vilabu vyetu vina vitengo kabisa vya habari na mawasiliano? Au ukishakuwa na smartphone na kujuwa kubwabwaja na kupost mipasho ndio imeisha hiyo?
Mimi Leo naomba niwaongeze ili msijizime data mjiupdate, wachezaji masuper star majina yao yanatumika vibaya kwenye social media na haya majina ni brand, mnapoacha hali iendelee watu kutapeliwa Kwa kutumia majina ya mastaa wenu naona kuna sehemu mmelala fofofo.
Sasa Mimi unataka niwaongeze ili mjiongeze, vitengo vyenu vya habari vihusike kuhakikisha account zote za wachezaji wenu zinakuwa verified na kupewa blue tick, hii itawasaidia sana kwenye fan base maana Kwa Sasa watu hata kucomment wanapotezea unaweza kudhani ni account halisi ya Fulani kumbe ni likibaka tu lipo hapo Tandika.
Chukuweni hiyo mjiupdate badala ya kuwa waropokaji kila siku mitandaoni Kwa pumba sisizo maana.