namlexink
JF-Expert Member
- Feb 16, 2012
- 1,433
- 942
Tupinge tuweke dau!! Simba 2- Yanga 0Mkuu sio mie, ni nafsi! Yaani piga, ua, galagaza, fanya na arobaini kabisa. Hapa ni full Mahaba kwa Yanga 😉
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tupinge tuweke dau!! Simba 2- Yanga 0Mkuu sio mie, ni nafsi! Yaani piga, ua, galagaza, fanya na arobaini kabisa. Hapa ni full Mahaba kwa Yanga 😉
Juuko namba 2..mnamjua mahadhi...speed ya usain bolt shaaaaaaSimba 2 Yanga 0
Timu kubwa ni ile iliyotwaa kombe la ligi mara nyingi.... Kama England Man U. Liverpool. Arsenal wengine wanajikongojakusema ni timu kubwa bila kutaja ulicholinganisha nacho haitoshi. hata panya ni mkubwa kwa kunguni.
tahadhari: usijaribu kulinganisha na simba utaishia kuonekana panya mbele paka!