Simba & Yanga Special Thread

Dah ila kweli tusubirieni tuone itakavyokua jamani ila mimi dar young Africa damuni jamani
 
***********TUKUTANE TAREHE 1*************
 
Yanga lazima wafe,labda Sanya awabebe.Hivi kati ya yanga na simba nani kapanic? Simba hatujapoteza mechi mpaka sasa.Bossue hawezi mzuia Mavugo,kamsoko hawezi kwa Mnyate.Ngoma hapiti kwa Mwanjali hata huyo Tambwe kwa Bukungu hapiti.Kama mnadhani simba hii ni ile ya kina Kessi njooni na matokeo yenu Jmosi.
 
Haya ndiyo masaa yenu ya mwisho kukaa bila kupoteza mechi. Kesho mtaifuta hii kauli mara moja.

Hakuna aliyepanic kwa taarifa yako, sisi tuko vizuri na sioni mtu wa kuifunga Yanga hapo kesho.
 
1.Ibrahim Ajibu
2.Donald Ngoma
3.Bosou
4.Zimbwe jr
5.Tambwe
6.Kichuya
7.Kamusoko
8.Mkude
 
Simba tunashinda ila I'm sure yule golikipa wetu kesho atatoa boko
Sina imani naye
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…