Huu uelewa weenye ujazo mdogo, unawezaje kujitoa level ya unaeshindana nae, kama Mbao na Stand U. Kamwe Barcelona hawezi wezi sema eti Osasuna, Atletico de madrid, Las palmas na Real madrid eti sio level moja, huwezi sikia kamwe, hii utaisikia Tanzania tu Dunia, tena kwa wapenzi wa Yanga tu. Hii kutokana na kupotoshwa na mtu asiejua michezo, Jerry Muro, sasa kama Simba majiji sio lever Yunu ubingwa mnachukulia kwa kushinda daraja lipi la mashindano la pili, na polisi moro.Hata mimi nimeshangaa kuwaweka Yanga na hao jamaa pamoja, level ya Yanga ni Raja Casablanca,Tp Mazembe au Zamaleki, Simba na wenzao kina Mbao,Majimaji Mwadui.
Haya sasa, hawa walipata madhara haya baada tu ya kukumbana SIMBA na wala sio Raja casablanca ya Morroco ama TP mazembe ya DRC, na wala sio Zamalleck ya Misri, bali ni Simba ya Msimbazi. Samahani kuna sehemu neno SIMBA nimeandika kwa herufi kubwa na maandishi yaliokoza, msije pata presha baada ya kusoma, maana ni kesho tu msije kosa kinachoendelea kabla mechi, kwa kulazwa hospital.
mkuu unajua kuchambaHaya sasa, hawa walipata madhara haya baada tu ya kukumbana SIMBA na wala sio Raja casablanca ya Morroco ama TP mazembe ya DRC, na wala sio Zamalleck ya Misri, bali ni Simba ya Msimbazi. Samahani kuna sehemu neno SIMBA nimeandika kwa herufi kubwa na maandishi yaliokoza, msije pata presha baada ya kusoma, maana ni kesho tu msije kosa kinachoendelea kabla mechi, kwa kulazwa hospital.
we timu gani?oyoooooooo kesho iyoooooooo
kwann umeuliza mkuu?we timu gani?
ili tujuanekwann umeuliza mkuu?
hahahha mie mnyamaaaaa kakaili tujuane
basi mororohahahha mie mnyamaaaaa kaka
hahahahahah safiiiiiibasi mororo
utawasalimia ilongabasi mororo
kaandike kuleee kwenye uziutawasalimia ilonga
teh teh tehkaandike kuleee kwenye uzi
Kwa mujibu wa mada mkuu, rudi kwenye title mkuu, utaona kwanini kakuuliza hivyo.kwann umeuliza mkuu?
Mmhh,atakujibu kwa mpira wa ufukweni atashinda huyo wamchangani Ila tofauti na hapo haina haja ya kuulizaSwali jepesi ambalo hata mtoto wa miaka mitatu atakujibu, na wala sio lamri...
WA KIMATAIFA Vs WA MCHANGANI nani atashinda....