kusema ni timu kubwa bila kutaja ulicholinganisha nacho haitoshi. hata panya ni mkubwa kwa kunguni.Yanga ,,,,,,Timu kubwa East Africa
Nakupiga 4-0 huamini tubetianeMnyama
Kanunue tiketi 2 za kuingilia... na uweke chenji!!Atakayenilipia kiingilio ntashangilia timu yake... kufurahi pamoja naye na kumpet pet akifungwa!
Hahahah umejitekenya na umecheka mwenyeweNakupiga 4-0 huamini tubetiane