Simba & Yanga Special Thread

Simba & Yanga Special Thread

Beside the highly tensed match on Saturday, this is what Young Africans have for today.

Mwenyekiti wa klabu ya Dar es Salaam Young Africans leo Septemba 28 2016 ameikabidhi Yanga eneo la hekari 715 kwa ajili ya ujenzi wa kituo cha michezo cha klabu hiyo na uwanja wa timu, eneo hilo lililopo maeneo ya Geza Ulole Kigambonilimekabidhiwa na wasaidizi wa Manji.


IMG-20160928-WA0033.jpg


Eneo hilo lililotolewa na wasaidizi wa Manji lilikabidhiwa kwa mwenyeiti wa baraza la udhamini la Yanga kwa niaba ya klabu katika hafla iliyohudhuriwa na watu mbalimbali akiwemo waziri wa mambo ya ndani ya nchi Mwigulu Nchemba na Mama Fatma Karume.

IMG-20160928-WA0044.jpg

IMG-20160928-WA0027.jpg


IMG-20160928-WA0032.jpg


IMG-20160928-WA0034.jpg
 
Hawa kuongea jadi yao lakini safari hii na hivi wameshachana mbeleko waliokuwa wanabebewa na TFF....wallahi tunawapiga wiki vyura tope Hawa

[HASHTAG]#SimbaTaifaKubwa[/HASHTAG]
Hawatoki hao wetu
 
Back
Top Bottom