hazinadaima
Member
- Aug 1, 2016
- 62
- 17
droo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yanga - Juzi, Jana, Leo na Kesho.....
Yanga ni level nyingine Simba watasubiri sana
muwe na akiba ya maneno. inamaana hata historia ya mechi zilizopita na hii hii yanga ya sasa (hapa najumuisha mechi zote za ndani(vpl) na zile za kimataifa, hamwezi kucalculate mkaona kwamba probility ya kushinda game ijayo ni almost non(0.002..)??)View attachment 407788
Nani kanuna??
Na sasa ni kutoka wa kujiita wa kimataifa, mpaka kuwa wadai ushindi we mezani.Dar Young Africa Wakimataifa 2 vs Wamatopeni 0
Mkishaona Hanna uwezo wa kuifunga yanga hii ndo sababu yenu ya kipekee mliyobakiwa nayo.Na sasa ni kutoka wa kujiita wa kimataifa, mpaka kuwa wadai ushindi we mezani.
Simba haijadai pont za mezani, bali ni Yanga, kama huna habari uliza, maana wengine mnafuatilia mechi ya Simba na yanga tu basi.Mkishaona Hanna uwezo wa kuifunga yanga hii ndo sababu yenu ya kipekee mliyobakiwa nayo.
Hahaha we chopeko kweli,kwa taarifa yako mi sio ndezi kwenye sports kama wewe,huna uwezo wa kufanana na Mimi kwenye hiyo idara,hebu nipe mfano halisi lini na wapi yanga alipewa ushindi wa mezani?kisha uje uniambie kwanini msimu uliopita simba na stend mechi ilichezwa dk 101 kule shinyanga?Simba haijadai pont za mezani, bali ni Yanga, kama huna habari uliza, maana wengine mnafuatilia mechi ya Simba na yanga tu basi.
Nimejifunza kuwa katika mechi za watani, mashabiki wanaokuwa over ambitious ndio wale timu yao hufungwa. Kwa ilivyo kwa sasa hakuna ubishi Simba SC wako over ambitious wakicheza mpira kwenye midomo yao na kujivunia timu ambayo hawana uhakika nayo.Simba team, funga vyura hao