Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Mapumziko siku moja? Ratiba zimebana aiseeWananchi Young Africans muwe na safari njema, na siku ya mechi hakikisheni mnawaangushia kichapo cha mbwa koko hao Waangola.
Halafu ajabu Simba ambaye ana siku moja mbele ndiye aliyekuwa analalamika na kuomba derby irudishwe nyuma zaidiMapumziko siku moja? Ratiba zimebana aisee