ligi ya mabingwa afrika

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. uran

    JamiiForums Tanzania Droo ya makundi Ligi ya Mabingwa Afrika na Kombe la Shirikisho Afrika | Oktoba 28, 2026 | Yanga yapangwa kundi la kifo, Simba yapangiwa Berkane

    Jumatano leo, Oktoba 28, itafanyika droo ya makundi Ligi ya Mabingwa Afrika na Kombe la Shirikisho Afrika. Uchambuzi wa droo hii utaanza saa 7:00 mchana Usikose kufatilia droo hii ili kujua Yanga SC, Simba SC, AzamFC na Singida BS kupangwa na timu zipi katika hatua ya makundi. Tanzania...
  2. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Mamelodi yaondolewa hatua za awali Ligi ya Mabingwa Afrika na Wiliete

    Mabingwa watetezi wa Ligi ya Mabingwa Afrika, Mamelodi Sundowns ya Afrika Kusini, wametolewa katika mashindano hayo baada ya kutoka sare ya bao 1-1 dhidi ya Wiliete SC ya Angola katika mchezo wa marudiano wa hatua ya pili ya awali, uliochezwa Oktoba 23, 2026. Matokeo hayo yanaifanya Wiliete...
  3. Labani og

    JamiiForums Tanzania CAF yakataa pendekezo la Misri kuongeza Klabu za Ligi ya Mabingwa Afrika

    Shirikisho la Soka Barani Afrika (CAF) limeripotiwa kukataa pendekezo la Shirikisho la Soka la Misri (EFA) lililotaka kuongeza idadi ya klabu za Misri zinazoshiriki CAF Champions League na Kombe la Shirikisho Afrika (CAF Confederation Cup) kuanzia msimu wa 2026/27. Awali, EFA ilipendekeza kuwa...
  4. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Simba, Yanga waanza safari kuelekea Angola na Botswana kwa michezo ya Ligi ya Mabingwa Afrika

    Baada ya kumalizana na mchezo wa Ngao ya Jamii, vikosi vya Simba na Yanga, vimeanza safari kuelekea kwenye michezo yao ya Kimataifa katika nchi tofauti. Kikosi cha Yanga kimeondoka alfajiri ya leo Jumatano Septemba 17, 2025 Dar es Salaam kuelekea Angola kwa ajili ya mchezo wa Raundi ya Kwanza...
Back
Top Bottom