Labani og
JF-Expert Member
- Sep 15, 2020
- 23,040
- 33,028
Shirikisho la Soka Barani Afrika (CAF) limeripotiwa kukataa pendekezo la Shirikisho la Soka la Misri (EFA) lililotaka kuongeza idadi ya klabu za Misri zinazoshiriki CAF Champions League na Kombe la Shirikisho Afrika (CAF Confederation Cup) kuanzia msimu wa 2026/27.
Awali, EFA ilipendekeza kuwa ligi tano bora barani Afrika zipewe nafasi sita za kushiriki michuano ya CAF badala ya nafasi nne zinazotolewa kwa sasa kwa ligi 12 bora za Afrika.
Pendekezo hilo linaelezwa kuja baada ya Al Ahly, klabu yenye mafanikio makubwa zaidi nchini Misri, kushindwa kufuzu CAF Champions League kufuatia kumaliza katika nafasi ya tatu kwenye Ligi Kuu ya Misri.
Je, unaamini CAF imefanya uamuzi sahihi kwa kukataa pendekezo hilo? 🤔👇