moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Shirikisho la Soka Afrika (CAF) limekataa pendekezo la Shirikisho la Soka Misri (EFA) la kuongeza idadi ya klabu zinazoshiriki Ligi ya Mabingwa Afrika.
Misri iliwasilisha pendekezo hilo ikitaka mataifa 12 yanayoongoza kwenye viwango vya CAF yaruhusiwe kuingiza klabu tatu kwenye mashindano hayo badala ya mbili za sasa.
Wameamua kitu sahihi.
Pendekezo lilikuwa na nia ya kuibeba Al Ahly.