uran
JF-Expert Member
- Nov 11, 2013
- 19,101
- 31,995
Jumatano leo, Oktoba 28, itafanyika droo ya makundi Ligi ya Mabingwa Afrika na Kombe la Shirikisho Afrika.
Uchambuzi wa droo hii utaanza saa 7:00 mchana
Usikose kufatilia droo hii ili kujua Yanga SC, Simba SC, AzamFC na Singida BS kupangwa na timu zipi katika hatua ya makundi.
Tanzania tunawakilishwa na;
Champion League
1. Simba Sports Club
2. Young Africans Sports Club
Confederation Cup
1. Azam Football Club
2. Singida Black Stars
Cairo, Misri. Hatima ya Simba, Yanga, Azam FC na Singida Black Stars katika michuano ya Klabu ya Afrika itafahamika leo Jumatano, Oktoba 28, 2026 kuanzia saa 8:00 mchana kwa muda wa Tanzania, wakati droo ya hatua ya makundi ya mashindano hayo itakapofanyika jijini Cairo, Misri.
Droo ya upangaji makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika itaanza kuchezeshwa saa 8:00 mchana na ile ya Ligi ya Mabingwa Afrika itaanza saa 9:00 alasiri.
Katika droo ya Ligi ya Mabingwa, timu 16 zimegawanywa katika vyungu vinne vyenye timu nne kila kimoja. Simba na Yanga zipo chungu cha pili pamoja na Al Hilal ya Sudan na Petro de Luanda ya Angola, hivyo haziwezi kupangwa kundi moja.
Chungu cha kwanza kina Espérance de Tunis ya Tunisia, RS Berkane ya Morocco, Pyramids na Zamalek za Misri. Chungu cha tatu kina MC Alger ya Algeria, Orlando Pirates ya Afrika Kusini, FC Nouadhibou ya Mauritania na Horoya AC ya Guinea.
Chungu cha nne kina Club Africain ya Tunisia, Wiliete ya Angola, Colombe Sportive ya Cameroon na Maghreb de Fès ya Morocco.
Mfumo wa droo unaelekeza kila kundi kuwa na timu moja kutoka kila chungu, hivyo Simba na Yanga zinaweza kukutana na baadhi ya timu zenye uzoefu mkubwa katika mashindano ya Afrika.
Katika Kombe la Shirikisho, timu nyingine zilizofuzu ni pamoja na USM Alger ya Algeria, Raja Club Athletic na AS FAR za Morocco, CS Sfaxien ya Tunisia na Al Ahli Tripoli ya Libya.
Kwa utaratibu wa mashindano hayo, kila timu itacheza mechi sita za hatua ya makundi, tatu nyumbani na tatu ugenini. Timu mbili za juu katika kila kundi zitafuzu robo fainali. Simba na Yanga zinaingia hatua hiyo baada ya kuonyesha makali katika raundi za kufuzu ambapo Simba imefunga mabao 16 na Yanga imefunga mabao 11 katika mechi nne za kila timu.
Makundi ya kombe kombe la shirikisho Barani Afrika
Group A
Al Ahly
• Raja Club Athletic
• AS de Kara
• 1º de Agosto
𝐆𝐫𝐨𝐮𝐩 𝐁:
• AS FAR
• Azam FC
• Al Ahli Tripoli
• Durban City
𝐆𝐫𝐨𝐮𝐩 𝐂:
• CR Belouizdad
/ AS Douanes
/ Hafia FC
• AS Maniema Union
• Singida Black Stars
• Red Arrows
𝐆𝐫𝐨𝐮𝐩 𝐃:
• USM Alger
• CS Sfaxien
• Black Bulls
• AS Real Bamako
# LIGI YA MABINGWA AFRIKA (CAF)
KUNDI A
1. Esperance
2. Petro Atletico
3. FC Nouadhibou
4. Williete SC
KUNDI B
1. Zamalek
2. Yanga SC
3. MC Alger
4. Club Africain
KUNDI C
1. RS Berkane
2. Simba SC
3. Orlando Pirates
4. Colombe Sportive
KUNDI D
1. Pyramids FC
2. Al Hilal (Sud)
3. Horoya AC
4. MAS de Fes